Siasa za nchi hii huwa hazieleweki kabisa. Ni siasa zilizojengwa katika misingi ya kuburudishana na kufurahishana. Kama mtu ni CCM hata kama chama chake kinakosea basi atakitetea mpaka mijasho...
Tutafurahi sana endapo waziri sita ataacha kuchefua watanzania. Ni vigumu kusikia kila siku anahubiri kuhusu ufisadi ndani ya ccm.Sita angejua kwamba hawezi kuleta mabadiliko yeye na marafiki zake...
Matokeo ya Arumeru yametufundisha mambo mengi sana kwanza watu wengi kuanzia ile asubuhi wanajitambulisha kama wana CDM..
Siko zote watu hawa walikuwa wanasifia na kukataa kuamini kama CDM...
Tangu kutangazwa kwa ushindi wa CHADEMA kule ARUMERU kumekuwa na hoja mbalimbali hasa kutoka kwa upande ulioshindwa kueleza sababu za kushindwa kwao. Hoja hizi ninaweza kuziweka kwenye makundi...
Ndugu zangu,
Unaweza kuwatawanya watu kwa mabomu , lakini kamwe, mabomu hayawezi kuitawanya mioyo ya watu yenye kutaka mabadiliko.
Habari kubwa usiku wa kuamkia leo ni anguko la CCM kule...
Wenzangu MAJI YA CHAI- wazee wa kumiliki viumbe na vyombo vya angani, wajomba zangu KIKATITI wana wa visima na mwaka , wakubwa wa KINGORI wale watu jasiri sana waliopambania ardhi yao ,LEGURUKI...
Ndugu zangu wanaArumeru,
Kwanza, nianze kwa kuwapongeza wananchi wa Arumeru kwa kazi nzito ya kupiga kura na kufuatilia kwa ukaribu wa uhesabuji na kuzuia kabisa mbinu chafu za kubadili matokeo...
Pamoja na mambo yote yanayosemwa kuhusu Mbowe yeye atabakia ndiyo alama ya CHADEMA.
Tangu Mwaka 1992 CHADEMA ilipoanzishwa na Mtei na Mwenzake Bob Makani, chama hicho kimepata sura hii...
kwa kweli nafurahi sana ninapoona mabadiliko katika majimbo mbalimbali nchini,
lakini roho inaniuma sana kuona wilaya yangu ya same imesahaulika kabisa.
Viongozi wa juu wa chama na wale wa...
Mbwebwe za kumnadi sioi zimemfikisha pabaya wiliam, amesurrender shamba lake kwa wenyeji akijua atajacheza kale kamchezo kake kama mwekezaji baada ya ccm kushinda, je atataka alirudishiwe kwa lazima?
hivi jamani unapambana na serkali nzima usalama wa taifa jeshi la polisi tume ya uchaguzi na bado unashinda kwa kutumia nguvu ya umma kweli nimeamini silaha pekee aliyonayo mnyonge kwa watawala ni...
Chanzo: Freethinking Unabii
Hakuna ubishi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeisha, kimeishiwa, kinachusha na kimeishachokwa na watanzania kutokana na uhuni ambao kimekuwa kikiufanya kwa...
1.Mgombea wa udiwani Kirumba kupitia CCM Bwana Jackson Robert ni mfanyabiashara maarufu sana na sifa za umafia pia swahiba mkubwa wa Ridhiwani Kikwete,Lawrance Masha na DCI Kanumba.
2.Bwana...
ninaposema Taifa ninamaanisha wananchi wema na wenye mapenzi mema. Ni muda mrefu watanzania tumekuwa kama yatima kutokana na utawala mbovu na wakifisadi kiasi kwamba wengi wamekata tamaa. Bahati...
Kwa wale wanaofuatilia mambo, wataungana namikwamba, kwa namna ya kuandaa viongozi bora, kwa maana ya kutoa fursa stahikikwa watu wenye sifa za uongozi, CHADEMA ndiyo kinara katika hilo. Ni...
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.