Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo...
HALI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Arumeru Mashariki, bado si swari baada ya mchakato wa kura za maoni kumpata mgombea wa chama hicho katika kinyanganyiro cha ubunge...
muda unavyozidi kwenda ndivyo hali ya furaha inavyozidi kuongezeka.
Hapa maeneo ya usa mpaka tengeru kuna maandamano makubwa sana.gari moja la polisi limeshindwa kupita na hivyo kugeuza haraka na...
Nipo Arusha Mjini, kesho natembelea majimbo ya Chama Kubwa-CDM mpaka Rombo bila uchafu wa magamba.
Hii ndio barabara yangu ya Ushindi. Arusha Mjini (CHADEMA)-Arumeru (CHADEMA)-Hai...
Ikumbukwe kuwa Mbunge mmoja wa cdm = wabunge 30 wa magambaz!
Mama Makinda, jipange sawasawa, unapokea equivalent ya wabunge wapya 30 mwezi huu!
Ushauri wa Bure, hakikisha unakuwa na busara katika...
uchaguzi umeisha arumeru na hatimaye waliyekuwa wanamtaka wamempata swali ni kwa wenzetu magamba ... je ninani watamnyooshea kidole? cku si nyingi tutamckia nape akianza kulalama...
Hawa ni manaibu wakuu wa vyuo vyetu vikuu, Chuo kikuu cha DSM na chuo kikuu cha Dodoma.
Taarifa rasmi zinaonyesha kwamba wameshafikia umri wa kustaafu lakini yaonekana kwa manufaa ya kisiasa...
Tumebakiwa na miaka 2 na nusu hivi tuingie kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Tunaziona hatari nyingi ambazo kama hatutaanza mjadala na uchambuzi wa kina mapema tunaweza kujikuta tunamchagua mtu kuwa...
Sijui kama wana Chadema wengi wana kumbukumbu za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru wa sasa ambaye pia ndiye msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Arumeru, Bw. Trasias Kagenzi. Kama hamkumbuki huyu huyu...
Akiongea baada ya kutangazwa kuwa Mbunge mteule Mh.Nassari amesema utekelezaji wa ahadi zake utaanza kesho kwa kuchimba visima viwili vya maji katika kata ya maroroni.
Go Go Go Nassari
Katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru, tulishuhudia Rais mstaafu akiwekwa kona na meneja kampeni wa chama cha siasa cha CHADEMA aeleze kinagaubaga juu ya kifo cha Baba wa Taifa...
YANAYOJIRI KESI YA LISSU LEO-LISSU AMBANA SHAHIDI..Mbunge wa jimbo la Singida mashariki, Mh. Tundu Lissu, ameiomba mahakama kuu inayosikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi kufutilia...
Uchaguzi uliomalizika arumeru ni funzu kwa lowasa na mafisadi wenzie kama mkapa ambao wanaona bado wanamvuto kwa kwa jamii ya Tanzania.lowasa anaidanganya nafsi yake kwa kuona watanzania ni...
Kama kuna kitu ccm waliyumba ni kumleta mpiga porojo lusinde halafu wakaongeza na mganga wa kienyeji steven ngonyani ,mikutano yao ikaonekana kama mkusanyiko wa "ibada za kiganga" wameru...
Huyu mbunge simsikii kabisa hususan kipindi hiki ambapo makamanda wetu walikuwa katika ukombozi wa Arumeru East kutoka katika mikono dhalimu ya mafisadi, na katika chaguzi za kadhaa udiwani...
Ndugu zangu kuna jamaa nawaulizia humu sijawaona kabisa sijui wako wapi tena kina Rejao,Nape na wengine waliokuwa wanamshabikia marehemu ccm wako wapi?na je nabii Frora vipi hatoi unabii mwingine...
Ndugu zangu furaha niliyo nayo tangu alipo tangazwa nassari kuwa mbunge mteule imezidi kifani kwan nimeona kweli watanzania wamechoka na manyanyaso ya serikali ya kikoloni ya watu weusi wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.