Mama Makinda Hodi Hodi Mjengoni, Wabunge 30 wameongezeka!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Ikumbukwe kuwa Mbunge mmoja wa cdm = wabunge 30 wa magambaz!

Mama Makinda, jipange sawasawa, unapokea equivalent ya wabunge wapya 30 mwezi huu!
Ushauri wa Bure, hakikisha unakuwa na busara katika kuongoza Bunge, vinginevyo utaamsha presha kabla ya wakati, maana sasa watenda kazi wameongezeka Bungeni!
 
Jembe la ukweli

Slaa-kukumbatina-na-Nassari1.jpg
 
Mkuu kwa tathmini ya mwisho ya Mwenyekiti Mbowe, mbunge moja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 mpaka 60 wa CCM.

Kwa hiyo wabunge wa chadema 49 watakuwa sawa na wabunge wa ccm 2450.

Kwa dogo Nassari ambaye sasa ni Mheshimiwa Mama lazima aingie mwezini kudadeki!
 
Ikumbukwe kuwa Mbunge mmoja wa cdm = wabunge 30 wa magambaz!

Mama Makinda, jipange sawasawa, unapokea equivalent ya wabunge wapya 30 mwezi huu!
Ushauri wa Bure, hakikisha unakuwa na busara katika kuongoza Bunge, vinginevyo utaamsha presha kabla ya wakati, maana sasa watenda kazi wameongezeka Bungeni!

Hapo kwenye redi najua kuwa wanaingia 60 coz kuna yule Mrith wa kamanda Rejia M

Mkuu kwa tathmini ya mwisho ya Mwenyekiti Mbowe, mbunge moja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 mpaka 60 wa CCM.

Kwa hiyo wabunge wa chadema 49 watakuwa sawa na wabunge wa ccm 2450.

Kwa dogo Nassari ambaye sasa ni Mheshimiwa Mama lazima aingie mwezini kudadeki!
DU!
Ni kweli aisee...
Kazi inayofanyika na jamaa wa cdm inafikia hiyo namba ya 2000 plus!
Ukiambiwa tu strategies walizokuwa wamepanga kudhibiti ulinzi hutoamini kama ni chama cha msimu, utasema makomandoo Wa Kiisrael mkuu!...na hakuna aliyethubutu kutoa siri ya mkakati!
CCM dawa yao ndogo tu...mbinu za kutumia wazee na Washili kwenye uchaguzi ni za enzi ya mawe!
 
Mmmhhh PJ leo utalala kweli wewe maana hii furaha sijawahi kuiona kwako............

Magwanda hongereni sana aisee.....................changamoto ni nzuri sana katika kila jambo

Jiandae nakuja kusherekea na nyie Alhamisi au sio.............Better late than never bana
 
Msafara utaanzia wapi kwa sisi wa dodoma tunataka kushiriki kikamilifu, tutampokea gairo kibaiigwa na kumsindikiza mpaka idodomya mjengoni, pikipiki zipo, magari yapo, polisi watatulinda usalama utakuwepo, mnatupa furaha sana mje muichangamshe na dodoma jamani tumechoka na magambaz yaleyale maendeleo hakuna
 
Mama, mlangoni kuna mgeni anagonga, kamfungulie!
Hapo kwenye red sahihisha, weka 'wageni wanagonga' (thelathini). Ngoja akatimuliwe vumbi na Nassari. Halafu bado kuna viti vitakuwa wazi hivi karibuni, nakumbuka bibie juzi juzi alisema 50% ya wabunge wanataka kuuacha ubunge shauri ya posho kuwa ndogo
 
Mkuu vipi ulimalima mpaka asubuhi?
 
Mpelekeni Rejao, Mende0, Dr. Kupenge, Ritz (sijui kama yupo hai) maana alisema atajinyonga kama CDM ikipita wakione hicho cheti ambacho ni ushindi kwa CCM na serikali yao kama Mrema alivyoshinda Temeke alisema " Sijaishinda CCM tu bali nimeshindana na serikali na kuishinda."
 
Mama, mlangoni kuna mgeni anagonga, kamfungulie!
View attachment 50797

Hivi mam yangu huyu mkubwa ana damu kdogo ya kindengereko?? mana hiyo dentition sielewi..na ninavojua wandengereko meno yao kila baada ya jino wana mwanya..inaelekea ana tema mate sana akiongea..sijui pale anaposemaga "Mh.. WE-NJE, Mh..kaa chinii..inaonkana pana loana pale!!
 
jamani arusha makamanda mmefaidi ile mbaya,nimemiss utamu balaa.

wiki hii namaliza cho nitakuwa pamoja nanyi tena,hongra paka jimmy na timu yote ya arusha kwa kazi mliyoifanya.
wape hy wote aada ya wiki moja tutakuwa pamoja tena.
 
Back
Top Bottom