Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Kama kuna kitu ccm waliyumba ni kumleta mpiga porojo lusinde halafu wakaongeza na mganga wa kienyeji steven ngonyani ,mikutano yao ikaonekana kama mkusanyiko wa "ibada za kiganga" wameru wakashangaa hii ni ile ccm ya nyerere au wapiga ramli,baada ya wiki tatu za kebehi,matusi,dharau na ramli za maji marefu,wakapewa kichapo!KAMANDA WA ARDHI MWINGINE ANAINGIA MJENGONI! Obrigado Arumeru east!