CHADEMA Mnamkumbuka Mkurugenzi wa Sasa wa Arumeru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Mnamkumbuka Mkurugenzi wa Sasa wa Arumeru?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ESAM, Mar 28, 2012.

 1. E

  ESAM JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Sijui kama wana Chadema wengi wana kumbukumbu za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru wa sasa ambaye pia ndiye msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Arumeru, Bw. Trasias Kagenzi. Kama hamkumbuki huyu huyu mwaka 2008 ndiye wakati huo akiwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime, alimtangaza Charles Nyanguru Mwera wa Chadema kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo. akimwacha mbali Christopher Ryoba Kangoye wa CCM.
  Baada ya kujua hayo nadhani wana Chadema hamtakuwa tena na wasiwasi na huyu bwana cha muhimu kama mnaamini kura zitawatosha, basi zilindeni na kuhakikisha fomu zinazofika kwakwe ni zile zilizotoka kwenye vituo halali tu na si vinginevyo na huyo jamaa hana ajizi atawatangaza washindi, kama ilivyokuwa 2008.
  Wakuu nawasilisha
   
 2. h

  hans79 JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa kwa hawa warobobea kuiba umakin wahitajika
   
 3. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Hatimae uliyoyatabir yametimia watu kama hawa ndio wanaostahili kuongoza tume ya taifa ya uchaguzi
   
 4. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Live long Mkurugenzi, mapepo yote ya magamba yashindwe kukugusa
   
 5. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  nimependa tu alivyomshughulikia msimamizi msaidizi wake kwa kuamuru apelekwe polisi na jinsi alivyoomba radhi kuwa tusameheane kama kuna migongano ya hapa na pale hongera sana nakumbuka walikushtaki na kutaka kukufukuza kazi ila ulirudi kwakuwa unasimamia haki
   
 6. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  HATIMAYE Kgenzi Trasias amemtangaza Nassar kuwa mbunge.hongera sana ndugu yangu kwa utabiri wako.Yametimia.
   
 7. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Pia alimtangaza John Heche suguta kuwa Diwani wa Kata ya Tarime mjini baada ya kumubwaga vibaya mfanyabiashara mkubwa peter Zakari, nafasi zote ziliachwa wazi na Marehemu Chacha Wagwe
   
Loading...