baada ya kulamba kisigino ARUMERU.....

baada ya kulamba kisigino ARUMERU.....

kend

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
5
Reaction score
0
uchaguzi umeisha arumeru na hatimaye waliyekuwa wanamtaka wamempata swali ni kwa wenzetu magamba ... je ninani watamnyooshea kidole? cku si nyingi tutamckia nape akianza kulalama...
 
nape awez lalama maake apo halipo amesherekea sana kwa kambi ya lowasa kushndwa
 
Back
Top Bottom