MAWAZO MAGUMU PART I-Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAWAZO MAGUMU PART I-Arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TOWASHI, Apr 2, 2012.

 1. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru, tulishuhudia Rais mstaafu akiwekwa kona na meneja kampeni wa chama cha siasa cha CHADEMA aeleze kinagaubaga juu ya kifo cha Baba wa Taifa hayati JK Nyerere. Shutuma hizi zililetwa hadharani kwa mara ya kwanza katika kampeni hizi.

  Swali najiuliza. Je, Inawezekana Baba wa Taifa huko aliko ameamua kumjibu Ben katika matokeo ya uchaguzi? Na kama ni hivyo, je atarudia kutoa majibu katika chaguzi zijazo?
  Au wananchi wameamua kupiga kura za hasira baada ya kugundua kipenzi chao, Baba wa Taifa, aliharakishwa kufa kwa nguvu za kibinadamu? Je, hasira hii itaendelea mpaka liamba kwa maana ya 2015?
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mtu akifa hajui neno lolote..ni upotoshaji kudai Nyerere ndio anajibu.Kinachoweza kuwa kimetokea ni wananchi kuchukia matendo ya ajabu ya CCM.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hivi kweli watanzania mil40+ tunahitaji kutetewa na mtu ambaye ameshatangulia mbele ya haki??
  Unatusi inteligence ya watanzania.
   
 4. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CONTRADICTION: "....Hamkusikia alivyosema, Mimi ni Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo? Mtamwitaje Mungu wa wafu? Basi, Yeye si Mungu wa wafu bali walio hai. ....Kinachokufa ni mwili, roho humrudia muumba

  C
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Moderator wa huku wana roho mbaya kama maraika wa kuzimu.......tukimaliza kusheherekea ushindi wa Arumeru urudi kule chit chat!!
   
 6. m

  mamudokta New Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini "ROHO" tunayoiongelea ni ipi inayorudi kwa Mungu? na Je ikirudi (KAMA ULIVYO DAI KWANI MIMI SIAMINI HIVYO) inaendelea kuwajibika kama mtu aliye hai? Kiukweli ile tuiitayo roho si kingine isipokuwa ni"PUMZI" na sina uhakika kama kuna mahali pa kuhifadhi pumzi za woote waliokwisha kufa. UKWELI NI HUU: MWILI+ PUMZI= NAFSI HAI. Ukiisha toa MWILI, Hakuna kilicho hai. Mzee wetu hawezi kufanya lolote kwa sasa ila Mungu anaweza kuamua hatma ya Watanzania kama ambavyo alikuwa akiwalinda watu wake ktk karne zote
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo umeamua kuwatusi nao?yaani mods wa jukwaa hili ni mashetani?
  Kwa hyo member wanaochangia hum ni majini?
  Tutake radhi mkuu matola,haya ni matusi makubwa!
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  mh!Sipo deep sana kwenye hz anga!
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Nimemquote Kongosho na si wewe....by the way niliyemquote akiona nilichoandika atajuwa ni nini ujumbe wangu kwake, kuhusu majini nadhani wewe ndio umeamuwa kujiita jini yourself.
  Radhi, niko tayari kumuomba/kuwaomba radhi moderators kama watahisi/wataona nimetoa lugha ya kuudhi kwao, nasisitiza siwezi kukuomba radhi wewe over my dead boady kwa sababu hakuna mahali nilipokukosea, instead ningependa nikushauri usijipe cheo cha kujifanya wewe ndiyo kamusi ya JF kwamba mtu akiongea neno moja wewe unaleta tafsiri 1000!!
   
Loading...