Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viva CDM. Wana JF waheshimiwa makamanda wa mwanza walipigwa transfer toka bugando mpaka muhimbili, tupeni taarifa zao sasa wanaendeleaje? maana ushindi mtamu unatufanya kama tunawasahau vile...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Hawa ni Makamanda Chekechea, wanajivunia na wako bega kwa bega katika M4C Wanasema hawalali mpaka kieleweke.........waambieni kitu na kuwataadharisha juu ya magamba
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Naamin kwenye siasa hakuna adui wa kudum.cuf na cdm mkiungaNa kuna asilimia kubwa ya kuwaondoa ccm madarakan.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jana Dr. Slaa amedai kuwa ktk vikao vya siri vya ccm anekaririwa rais mstaafu BWM akiishinikiza tune ya uchaguzi kuitangaza ccm imeshinda uchaguzi wa Arumeru hata kama wameshindwa kwa sababu...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Leo Tanzania nzima stori ilikuwa ni moja ya kuhusiana na ushindi wa Cdm huko Arumeru. Ktk blog nilizo pita nimeona watu ni kupongezana tu hasa wakiwasifu wananchi wa arumeru kwa kuthububu. hata...
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Taarifa ya TBC1 kuhusu kukatwa mapanga na mashoka kwa Mbunge wa Ilemela na yule wa Ukerewe imetuacha na maswali mengi. Tukio hilo ni kubwa na la aina yake kutokea katika nchi hii tokea tupate...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Jamani leo asubuhi nimekutana na David Jairo, kilichonishangaza ni kumkuta anatumia gari la serikali Landcruiser V8 wakati nilijua ametolewa serikalini moja moja. nimeshindwa kuelewa sasa anatumia...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kimsingi hawa watu watatu ndio waliosababisha ccm kupoteza jimbo la Arumeru Mashariki kutokana na sababu zifuatazo; Wasifu na weledi wa lusinde na maji marefu ni sifuri, mzee wetu Wassira umri...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza napenda kukipongeza Chama Changu cha Demokrasia na Maendeleo kwa ushindi katika jimbo la Arumeru Mashariki na pongezi za dhati ziwafikie Makamanda wote Dr Slaa, Mbowe Freeman, Rev Natasye...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
pamoja na kwamba alikuwa na majibu ya dharau akiwa south afirika ulipopigiwa simu na mhe mbowe lakini tunashukuru umeuonesha umma kwamba unaweza hata kule kwenu kondoa nadhani utapabadilisha
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni furaha kuona kwamba katika miaka ya hivi karibuni chama cha CDM kimeweza kwa kiasi kikubwa kufanya kampeni nchi nzima kuelimisha wananchi. Ni katika kazi hiyo ndio tumeona wapiga kura wakipata...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Kwa jinsi upepo unavyokwenda, naanza kuiona Movement for Change ikiibomoa CCM mda si mrefu. Hawa wakuu hawako mbali sana kujiunga na M4C. nadhani Zitto atakuwa anaratibu mchakato huu. Nape Nnauye...
0 Reactions
14 Replies
44K Views
Leo, moyo wangu umejaa furaha kubwa baada ya kuchangia tone la damu yangu katika bakuli la sadaka ya damu ya ukombozi wa taifa hili, likitanguliwa na ukombozi wa Arumeru mashariki! Nikiwa katika...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Tunashukuru uchaguzi umemaliza na mshindi ameshatangazwa. Pongezi CDM, pongezi Nassari, pongezi wana Arumeru kwa kushinda, mlistahiki - Hongera sana! Lakini wakati wa kampeni, tuliwasikia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
kwatathimini iliyofanywa mapema hii! Maeneo yote ambako mabomu yalipigwa Chadema kimeshinda mfano Arumeru mashariki, Kirumba, Kiwira na Songea. Lakini hali haikuwa nzuri kwa Chadema maeneo ambayo...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Niko hapa cmanjiro wazee 'wanene' kifedha wanasemezana 'eti nasikia hawa jamaa wamechukua hata udiwani kata karibu zote..Sasaa' anasema mmoja wakiwa wameegemea gari lililochafuka na matope ya...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kinachotukwamisha kisiasa Dar kuna wajinga wengi, misukule mingi, mbumbu wengi, mateja wengi na zaidi walala hoi wengi. pia kuna watu wengi wanaojifanya wako bize kuliko eneo lolote TZ.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Makamanda wa Arumeru mashariki walikamata wezi wa kura na waliweza kudhibiti kura za wizi zisiingizwe kwenye vyumba vya kuhesabia! Sasa ushindi umepatikana. hivi ingekuwaje kama Makamanda wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Iwapendeze wakuu; Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa...
1 Reactions
106 Replies
13K Views
Habari zenu wanajf. Kwanza napenda kutoa salamu za pongezi kwenu kwa kazi kubwa na ngumu mliyoifanya kwa niaba ya CDM mpaka kufikia hapa tulipo. Pili nawaombeni radhi kutokana na heading ya uzi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom