Waliosema chadema haitashinda arumeru mbona siwaoni????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosema chadema haitashinda arumeru mbona siwaoni?????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamanda mkuu, Apr 2, 2012.

 1. k

  kamanda mkuu Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kuna jamaa nawaulizia humu sijawaona kabisa sijui wako wapi tena kina Rejao,Nape na wengine waliokuwa wanamshabikia marehemu ccm wako wapi?na je nabii Frora vipi hatoi unabii mwingine? nawasilisha msaada tafadhali
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wanaona haya! Aibu yao furaha yetu! Hata kwa Udiwani wa kirumba wapo walokuwa wakishoboka eti chadema watashindwa. AIBU YAO
   
 3. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umemsahau Pasco
   
 4. M

  Mchomamoto Senior Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanajipoza kwa kunywa gongo muda huu wakiwa na mashavu Lusinde na Nchemba!!
   
 5. ZigiZaga

  ZigiZaga JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 180
  magamba yamewalemea hata kunyanyuka hawawezi
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kamanda mkuu hebu nipe kidogo nabii flora alitoa unabii gani?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,649
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Ritz alisema atatembea uchi toka posta mpya mpaka Kimara.
   
 8. B

  Bugomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 282
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Aibu yao wenyewe wamebana mwishowe waeachia viva chadema
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
Loading...