Je, Mbunge John Shibuda alikuwa wapi wakati makamanda wetu wengine wakiwa katika harakati za ukomboz

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Huyu mbunge simsikii kabisa hususan kipindi hiki ambapo makamanda wetu walikuwa katika ukombozi wa Arumeru East kutoka katika mikono dhalimu ya mafisadi, na katika chaguzi za kadhaa udiwani. Mwenye taarifa tunaomba atujuze.
 
Anaitwa mzee wa Ujira wa mwiha,Mzee wa Maposhoz,Mzee wa methali na nahau.Hakukua na Sitting allowance Arumeru mkuu.Arumeru ilikua ni kazi tu.Yule bwana CCM-CHADEMA asingeweza
 
Shibuda = CCM,ameshitukiwa haalikwi majukwaani maana anaimba wimbo wa ccm!lol
 
Haikuwa lazima wabunge wote wa CHADEMA kwenda Arumeru! Wengi walibaki katika majimbo yao na wengine walikuwa katika kamati mbalimbali za bunge.
 
Huyu mbunge simsikii kabisa hususan kipindi hiki ambapo makamanda wetu walikuwa katika ukombozi wa Arumeru East kutoka katika mikono dhalimu ya mafisadi, na katika chaguzi za kadhaa udiwani. Mwenye taarifa tunaomba atujuze.

huyu bwna angerudi alikotoka ingesaidia sana kuwapisha watu wengine wenye moyo wa mabadiliko ya kweli ni namvyomuona yeye ni mtu wa kutaka kupiga vijembe mjengoni na muona kama bado rangi ya kijani haijamtoka
 
Huyo yuko kwenye uangalizi mahususi wa Profesa Safari na Mabere Malando, Hata lugha ya kimageuzi bado inamsumbua kidogo, msubirini anakuja mtamtamani.
 
Alikuwa bize kujibu nia ya Zitto kugombea urais, kwani jamaa bado naye anavizia. Mnakumbuka alivyotangaza nia alipokuwa CCM na kukiuka utaratibu wa CCM kumuachia rais aliyeanza na 5 years?
 
Mbona kuna wabunge wengi tu wa chadema hawakwenda kupiga kazi arumeru? Haya ni majungu tu. Kama hakuambiwa na viongozi wa chama kwenda angeenda kwa nini?
 
bado anajiuliza ni chama gani ataenda 2015 kwa sababu hii spidi ya m4c ashaiona imempwaya
 
CDM wajanja, wamem-discommunicate kiaina labda atatia akili. Lakini kwa sasa mwacheni aongeze ruzuku chamani helkopta ipate kuruka!
 
Alikuwa ktk atm ya NBC dodoma. Akataka kuleta uheshimiwa kupita bila folen, akijua kila mtu anamjua,watu wamwambia apishe.
 
huyu mbunge simsikii kabisa hususan kipindi hiki ambapo makamanda wetu walikuwa katika ukombozi wa arumeru east kutoka katika mikono dhalimu ya mafisadi, na katika chaguzi za kadhaa udiwani. Mwenye taarifa tunaomba atujuze.

anaogopa coz mlishamtangazia kibano cha kummwaga ubunge
 
huyu mtu nadhan kapelkwa mafunzon kuoshwa si mnajua bado ana baadhi ys sum za chama,nadhani chama makin kinazdi kumsafisha kwa hisopo kusudi mawaa ya ccm yamuishe
 
Back
Top Bottom