MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,171
Hawa ni manaibu wakuu wa vyuo vyetu vikuu, Chuo kikuu cha DSM na chuo kikuu cha Dodoma.
Taarifa rasmi zinaonyesha kwamba wameshafikia umri wa kustaafu lakini yaonekana kwa manufaa ya kisiasa wameendelea kuwa kazini bila hata nafasi zao kutangazwa kama ilivyo ktk charter za vyuo hivyo. Hisia yangu ni kwamba ni uvunjifu wa sheria ambayo Rais mwenyewe aliweka sahihi. Charter zote ziliwekewa sahihi na Rais tena huyu huyu aliyeko madarakani, Bw. Yote ni sawa.
Kwa mtindo huu hakuna atayestaafu na kuachia nafasi kwa wasiyo na ajira.