Ni Furaha kwa Npe, Vasco, Maembe, Six

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
teh teh

Nifuraha kwa Sokwe pia

Sasa jamaa atakuwa anakunywa Brand Hennesy na Mbuzi choma kupunguza hasira kwa mkwe wake Naolewa kushindwa
 
Najua kabisa mfumo mzima wa ccm haukutaka sioi apite ndio maana walimrudisha akashindane na sarakikya tena.huyu sioi akajipange siasa sio kurithishana kama shamba
 
Back
Top Bottom