Utekelezaji wa ahadi unaanza kesho-nassari mbunge mteule

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Akiongea baada ya kutangazwa kuwa Mbunge mteule Mh.Nassari amesema utekelezaji wa ahadi zake utaanza kesho kwa kuchimba visima viwili vya maji katika kata ya maroroni.
Go Go Go Nassari
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Fanya fasta dogo kutekeleza uliyoahidi. Vinginevyo 2015 tunakupiga chini kama hatuna akili nzuri vile.
 
Hongera sana dogo go and give what you have promised the wananchi otherwise you will be like magamba family. We are here to give professional support to help in poverty alleviation in our country.

Magamba ovyooooooooooooo
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
safi sana dogo, kasi iwe hiyohiyo. si walisema hujaoa wewe, kwani maendeleo yanahitaji waliooa? waumbue!!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Ukombozi wa kweri huletwa na watu wenye vision kama makamanda wa chadema ,fanya kweri nasary
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
amesema ataanzisha na mfuko wa kusaidia wajane haraka sana.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Kwa hili nimeona nguvu ya umma, Je Daftari la wapiga kura lingeboreswa si ingekuwa aibu sana kwa CCM.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Goed bless you Nasari,You are truly a man of action,
Yaani hujalewa ushindi umeamua kwenda kazini chapchap,ni mwanzo mzuri brother keep it up!
 
Back
Top Bottom