Uchaguzi arumeru mashariki funzu kwa lowasa na mafisadi wanzako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi arumeru mashariki funzu kwa lowasa na mafisadi wanzako.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kijenge, Apr 2, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Uchaguzi uliomalizika arumeru ni funzu kwa lowasa na mafisadi wenzie kama mkapa ambao wanaona bado wanamvuto kwa kwa jamii ya Tanzania.lowasa anaidanganya nafsi yake kwa kuona watanzania ni wajinga wanajua kujiuzulu kwake alionewa.apime kampeni 2010 jina lake lilitumika kuipa upinzani wabunge, wengi arusha jina lake liliusishwa na dr batilda matokea tuliona,arumeru ameshiriki matokeo yake ndio hayo .2015 akitia mguu kwenye uraisi magamba bye bye.
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Funzu? Yawezekana ni human error ktk Heading! Na kwenye contents? Overjoyed by ushindi wa CHADEMA? Anyway hongera sana . VIVA CDM.
   
Loading...