Ushindi wa chadema ni waraka mzito wa watanzania kwa serikari ya chama cha mapinduzi mwaka 2015

ADAM MILLINGA

Senior Member
Apr 27, 2011
117
13
Ndugu zangu furaha niliyo nayo tangu alipo tangazwa nassari kuwa mbunge mteule imezidi kifani kwan nimeona kweli watanzania wamechoka na manyanyaso ya serikali ya kikoloni ya watu weusi wa chama cha mapinduzi nina washukuru sana wananchi wa arumeru amkujali pesa wala flana ata kanga ila mmeangalia maendeleo huo ni waraka tosha kwa serikali ya kikoloni inatakiwa kufunguka mapemaaaaaaaa asanteni
 
CCM NI SIKIO LA KUFA. Usitegemee chochote toka kwao. Hawajifunzi kabisa hao!
 
Wapo wanaosema ushindi huu ni wake up call kwa watawala wetu. Wengine wanasema, haya ni maandishi ukutani. Wote wapo sawa, lakin mimi nasema safari ya mabadiliko ndio imeanza rasmi kuelekea 2015. Tukipata tume huru ya uchaguzi, katiba bora na elimu sahihi ya uraia basi tutegemee mabadiliko ambayo hayajawahi kutegemewa ktk historia ya nchi hii
 
Back
Top Bottom