Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???
 
mm MDEE kiumri ni mkubwa kuliko Nasari na kwa mujibu wa mila za kimeru mme lazima awe na umri mkubwa kuliko mmke
 
Facts ziko wazi: 1.Nassari hajaoa. 2.Halima hajaolewa. 3.Nassari ametangaza nia ya kumuoa Halima. 4. Ndoa baina yao yawezekana. Tatizo li wapi?
 
  1. Samweli Malecela alikuwa Mbunge wa Mtera, Mkewe Kilango Mbunge wa Same Mashariki
  2. Pius Msekwa alikuwa Mbunge wa Ukerewe na Mkewe alikuwa Mbunge wa Jimbo moja kule Mtwara

Ninachokiona kwa mtoa mada ni wivu wa kipumbavu, hoja hazina akili.
 
Hii story kama ya kuungaunga vile! Shida iko wapi kama wataoana? Mzee Malecela na Anna Makinda walikuwa wote mjengoni halikuharibika neno! Vivyo hivyo Mzee Msekwa (akiwa Speaker) na Anna Abdalla, baadae Speaker Sitta na Magreth Sitta. Leo hii kwa nini iwe nongwa?
 
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???

Kama sijakufahamu vile????!!!!!!!!!
 
Kwani wewe kilichokuuma hasa nini? Halima mdee kuolewa na Nassari. Tutolee wivu hapa.
 
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???

Kwa hiyo wewe unataka kusema nini sasa?
 
Nimefurahi sana kupata taarifa kutoka kwenye gazeti la Majira la leo (Machi 19,2012) kwamba Joshua Nassari anataka kumuoa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe. Kama ilivyo ada tumekuwa tukiona wapendanao wakisaidiana kupiga kampeni ili kuhakikisha ushindi unapatikana. Ninamshauri Mdee akimsaidie mchumba wake.
 
Some things are too personal...we'd better focus kny issues muhimu zaidi ya hili...Si Mbaya Nassari kumuoa Halima Mdee, tujiulize wana Arumeru kijana anafaa kuwa muwakilishi wetu? Kwamba atamuoa Mdee or any1 ni something very immaterial, haituhusu sana.
 
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???
Hapendwi mtu bwana, inapendwa pochi. NASSARI kaza uzi ufaidi njugu za Halima, ila kuwa makini usije ukawa mtumwa.
Lakni jamani ni kweli kwamba Mpaka leo Halima Mdee alkuwa akimsubiri NASSARI au ndo mtaka kuturudisha kule kwa akina SLAA NA mshumbuzi.
 
Back
Top Bottom