Mabomu yawa baraka Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu yawa baraka Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PATOXIC, Apr 2, 2012.

 1. PATOXIC

  PATOXIC Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwatathimini iliyofanywa mapema hii! Maeneo yote ambako mabomu yalipigwa Chadema kimeshinda mfano Arumeru mashariki, Kirumba, Kiwira na Songea. Lakini hali haikuwa nzuri kwa Chadema maeneo ambayo Chadema haikushinda. Nawashauri wale wanaosaidia ushindi wa CCM hakuna haja ya kuiba kura, tatizo ni polisi wanawatia kigundu waambieni wanawanyima ulaji waachane na mabomu.
   
Loading...