Mr. BEN: Nafikiri CHADEMA wamevuna walichopanda

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Habari zenu wanajf. Kwanza napenda kutoa salamu za pongezi kwenu kwa kazi kubwa na ngumu mliyoifanya kwa niaba ya CDM mpaka kufikia hapa tulipo. Pili nawaombeni radhi kutokana na heading ya uzi huu. Kwa kifupi tamko liliyopo katika heading hii sio rasmi, ingawa naamini kwamba linaweza kuwa linatamaniwa kutolewa na viongozi wengi wa CCM kufuatia matokeo ya Arumeru. Nimesoma katika thread moja hapa jamvini kwamba Mr. Nape anatamani vazi la CHADEMA. Kufuatia kauli ya Nape nina imani pia ndani ya CCM kuna viongozi wa juu ambao labda kutokana na kukosa ujasiri wa kuweka wazi appreciation yao juu ya kazi nzuri inayofanywa na CDM, kama alivyofanya Nape, wanashindwa kutoa matamko yanayofagilia kazi nzuri za CHADEMA. Swali langu kwa wanajf ni hili; kama ikitokea raisi mstahafu, mr. B.W. Mkapa, akatangaza nia ya kujiunga na CDM, adhma hii itapokelewa kwa mtazamo gani na wana CDM wa hapa jf.., hasa kwa kipindi hiki tunacho elekea 2015? Nawasilisha.
 
Hujaeleweka mara Ben ajiunge CDM mara Nape amependa gwanda, kajipange upya.
 
Back
Top Bottom