Shambulio la wabunge na TBC1 reporting | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shambulio la wabunge na TBC1 reporting

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chakaza, Apr 1, 2012.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Taarifa ya TBC1 kuhusu kukatwa mapanga na mashoka kwa Mbunge wa Ilemela na yule wa Ukerewe imetuacha na maswali mengi. Tukio hilo ni kubwa na la aina yake kutokea katika nchi hii tokea tupate uhuru. Inakuwaje TV ya taifa waripoti swala hili kama tukio la kawaida lisilo na uzito wowote katika jamii? Au kwa vile ni wabunge waupinzani? Nchi inayojitapa kuwa ya amani na utulivu na wabunge wanapigwa mapanga na mashoka tunaenda wapi? Hoja jee kituo cha TV cha taifa kinapo dharau jambo kama hili maana yake nini katika mustakabali wa Taifa?
   
 2. r

  realistic man New Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache wakae kimya, mpaka visasi vikianza, ndio watatangaza
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo Tbc ni ya magamba but movement 4 change ndiyo itakayoamua hatima yao hao magamba tbc.
   
 4. m

  makkeys Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani wananchi watakapoanza kulipa kisasi ndio watapata cha kuandika!
   
 5. c

  chachu Senior Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  TBC si ile ya TIDO MHANDO ukweli na uhakika.
   
 6. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mshana anashindwa kujua TBC inatazamwa na watu wa itikadi mbalimbali wakiwemo wana CCM.Tunashindwa kuelewa kwa nini TBC1 inaongozwa kwa misingi ya CCM?
  Basi tunawaomba TBC1 wabadilishe rangi na waweke rangi ya kijani na njano ili tujue kabisa kama ni kituo cha CCM
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ingekuwa wa magamba hata chagonja na mwema wangezungumza
   
 8. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Waacheni wafanye mchezo, watakuja kujibu siku moja kwa sababu historia huwa haipotei, na pia wakumbuke kuwa hata Rwanda mambo yalianza hivi hivi.
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kama hawafahamu, mwenendo wa TV hii unachangia sana kwa wananchi kukatishwa imani na serikali yao (chama tawala). Hata wale wenye ufahamu mdogo wameshaelewa kuwa hii TV ni kwa ajili ya propaganda kwa chama tawala. Wabunge ni viongozi wa kitaifa, sasa tunapobagua itikadi dhidi ya wabunge wanaotuwakilisha wananchi wote kitaifa ni kutenganisha Taifa letu pia.
   
 10. M

  MAPIKIPIKI Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani mlio na habari za afya zao zinaendeleaje?mtujuze
   
 11. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ingekuwa ni wabunge wa CCM wangesema wamekatwa mapanga na wafuasi wa CHADEMA!
   
 12. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pumbavu sana hili litivii
   
 13. Kikusya

  Kikusya Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 25
  hii inatisha hata Ghadafi alikuwa na TV ya chama chake kwa ajili ya kuficha uovu wake.
   
 14. M

  Mboko JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na pia wananchi waelewe kwamba Tbc ni ya wote wasio na vyama, hata wale wenzetu ambao wanasumbuliwa na magonjwa kama akili,walemavu,wafungwa,watoto,watu wazima na wengi ambao wana matatizo tofauti ni jambo la kila mmoja wetu kuelimisha jamii juu ya nini maana ya serikali maake mie nimegundua hiki kikundi flani cha watu kuanzia Rais na mawaziri na chama chao cha Magamba wanaona wao ndio serikali na pia ndio maana hata hawa wazembe watangazaji wa TBC hawaonyeshi moja kwa moja kama ni TV ya Taifa ili chaguzi zikifika waweza kuwahaada watu especialy wale wa vijijini kuwa oooh tuko na hivi na vile na wapinzani hawana hata Tv na hili ndio tatizo la nchi yetu kwani kule vijijini hata hawafahamu kwa nini wanapiga kura kuchagua viongozi maake wao wanawapa kura Magamba then wanawatosa baada ya miaka 5 wanawaona tena hata hivyo pia hawafahamu kwa nini wamekuja tena then wanawahada then wakijijini wanawapa tena maisha duuh wajinga ndio waliwao
   
 15. j

  joystaff77 Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Time will tell....ndo maana wanafilisika cause hawana mvuto
   
 16. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watu tulisha nena ccm ni chama cha SHETANI.
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sifa kubwa ya wafuasi wa CHADEMA ni kulalamika hata pasipo na sababu ya kulalamika! Hivi ingekuwa wewe ndio muhisika pale TBC1, unge-include nini ili ionekane umeipa uzito habari hiyo?! Ukiangalia, taarifa za tukio lile limechukua takribani tatu.....Highness Kiwia amehojiwa na wala hakukatizwa alichotaka kuongea! Zitto Kabwe amehojiwa na ameyasema aliyokusia kuyasema bila kukatizwa. RPC nae amehojiwa na amesema bila kukatizwa! Wametoa picha za pale Bugando Hospital hadi Muhimbili! Nini cha ziada ambacho ungependa kionekane kwenye taarifa hiyo?! Ulitaka kuwe na live coverage?!
   
 18. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waheshimiwa mkae mkijua kuwa huyo Mshana anaogopa kile kilichomkumba Tido. Ukurugenzi mtamu bwana...! We kama unaona hupati UKWELI NA UHAKIKA achana na TBC kama mie nilivyofanya baada ya kuona inaninyima raha ambazo nilikuwa nikizipata kipindi cha Tido Mhando.
   
 19. e

  epafraditto frank Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika hapa ndipo wamedhihirisha wazi jinsi gani wnavyotafuna kodi zetu bila faida.....
  sio sahihi kabisa kwa kutolipa uzito suala hili...angekuwa mbunge wa CCM ungesikia kauli kuanzia IGP, CHAGONJA, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI.
  TUTAFIKA TU IPO SIKU....TIME WILL TELL:A S shade:
   
 20. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hata mi nimeona. ilivyoripotiwa ni kama ya kawaida sana mshana anakaribia kustaafu nini? coz kama anajua anatakiwa kuwepo kazini after 2015 huu us.ng. angeacha. CDM FUNGUENI TV!
   
Loading...