Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Mar 24, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jana Dr. Slaa amedai kuwa ktk vikao vya siri vya ccm anekaririwa rais mstaafu BWM akiishinikiza tune ya uchaguzi kuitangaza ccm imeshinda uchaguzi wa Arumeru hata kama wameshindwa kwa sababu wataenda mahakamani na kesi itafia huko.

  Napata picha kuwa ccm ni wezi, wanyang'anyi na wauwaji mbinu kama hii ndio iliyompa ubunge Makala baada ya mkapa kumtishia maisha mbunge wa cdm aliyekuwa ameshinda Mvomero baada ya kushindwa kumhonga

  Tusikubali ushenzi huu cz wanajua fika tume na mahakama ni wateule wa mwenyekiti wao
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kumbe hamtaki JK kuwa madarakani
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkapa ana chuki ya ajabu mno dhidi ya watanzania wenzake. Lazima kuna sababu ya msingi juu ya hili
   
 4. kijenge

  kijenge Senior Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Mkapa aliuwa watu pemba bado ile damu ina mlilia, anajua kabisa watu arumeru hawaitaki ccm ikiwa hivyo cdm hawatakubali, ya mwanza na arusha itakuwa chamtoto lengo lake jk ampiku kwa kuuwa wananchi wake kama yeye na IGP mahita.ole wake cdm ichukue nchi akiwa hai fisadi mwizi no 1 tz.
   
 5. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,043
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Hakuna atakayeenda mahakamani !
  Kwani Tunisia walienda mahakamani ?
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hafai hata kidogo ukiona mtu wa nafasi yake anasema mambo ya ajabu kabisa ujue ameishiwa ni wa kuchapa mawe anapopita.

  Kiukweli Dr. alivyosema hayo niklisikitika sana.
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,189
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Duuuh mzEe kwa kuunga Makala alimuacha yule dogo kwa kura 25elf sasa hapo kaibiwaje unafikiri kwa makalio wewe
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,316
  Likes Received: 5,040
  Trophy Points: 280
  Hivi Ni mtanzania kweli huyo?, ngoja nimtafute Mtikila
   
 9. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr mkapa ni mtu makin sana hawezi kuwa na myopia vision kama weewe.mwandishi wa thread hii muongo ,maana ametoa mfano wa amosi makala kupitishwa kwa nguvu, makala amekuwa mbunge mwaka 2010 wakati mkapa ame retire 2005 ! Wapi na wspi?
   
 10. m

  maramojatu Senior Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nafikiri kama haya ni ya kweli ni aibu sana kwa huyo mzee. hivi wana arumeru wakipelekewa bungeni mwakilishi ambaye hawakumtaka mkapa ananufaika na nini? nini maana ya uchaguzi sasa. I think it a shame to mkapa na tanzania kwa ujumla. huu wizi wa kura can only happen to tanzania and few countries. jamani tusikubali na wizi huu
   
 11. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aamah!!
  Sasa hebu tuwekane sawa hapa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi naye ni mjumbe kwenye hiyo kamati ya CCM?
   
 12. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,330
  Likes Received: 3,535
  Trophy Points: 280
  Hili zee ni jizi na liuaji wala halioni shida watu kufa, ni li Freemason namba moja. Mkapa utampunguzia nani midhambi isiyodhambika???
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,994
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Mkapa aliimba jukwaani: Nina imaaaani na Sumaaari, oya, oya oyaaaaa! Nilishangaa sana rais mstaafu kuimba jukwaani wimbo wa dizaini ile.
   
 14. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Jamii ya komba
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanini wanalazmisha ushindi?
   
 16. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Katika viongozi ambao siku za hivi karibuni amejiingiza katika mchezo mchafu ni Mkapa.
   
 17. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Slaa anazeeka vibaya naona.
  OTIS
   
 18. M

  Mdundulizaji Senior Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda hii!
   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Msameheni bure hajui alitendalo! Ametishwa na Kikwete kwamba CCM isiposhinda Arumeru Mashariki atamfikisha mbele ya vyombo vya sheria kwa ufisadi aliofanya wakati akiwa Ikulu. Mkapa is dying horse, he is fighting for his life.
   
 20. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwani inajalisha? Haijalishi!
   
Loading...