Jaji Damian Lubuva umeanza kazi vizuri sana

HAFSA1984

Member
Mar 28, 2012
24
3
pamoja na kwamba alikuwa na majibu ya dharau akiwa south afirika ulipopigiwa simu na mhe mbowe lakini tunashukuru umeuonesha umma kwamba unaweza hata kule kwenu kondoa nadhani utapabadilisha
 
Fimbo yake kuu ni kuboresha daftari la wapiga kura na kuajiti watumishi kama wasimamizi na kutumia current technology.mambo ya kampeni awaachie msajili na mahakama hapo ataondokana na presha za wakubwa na mafisadi
 
Mkuu i have serious questions with what happened in Arumeru mashariki. It seems that more that 120,000 people were registered, it is only half of those voted. Why? What is the reason behind this, why would half of registered voters not go to polling station?

Simpi credit mweyekiti wa tume hata kidogo, kwa uchaguzi huu mdogo ambao nao haujaendeshwa kwa kiwango ambacho kilitakiwa. We still have a long way to go with NEC.
 
Mheshimiwa Jaji
Kwanza hongera pamoja na kamati nzima ya NEC kwa kufanikisha kipimo chenu cha kwanza. Kasoro zilizojitokeza zinarekebishika.....ila haki imetendeka......na iendelee kutendeka chini ya uangalizi wako.

Hii inadhirisha kuwa unatekeleza yale ambayo umeyaahidi, unayaamini na utaendelea kuitendea haki nchi yetu ya Tanzania.

Tunakutakia kila la heri.
 
Katika shamrashamra hizi za kushereherekea matokeo haya ya Uchaguzi wa Arumeru-mashariki,nadhani kuna haja ya kuwapa pongezi pia hawa: Mkurugenzi ambaye ndo aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Kagenzi na pia Mwenyekiti mpya wa Tume ya taifa ya Uchaguzi Ndg. Lubuva. Ninawasilisha!!!
 
Sababu ya Mapolisi kujaa barabarani na kuwatisha watu. Ndio maana watu waliogopa kutoka majumbani mwao kwenda kupiga kura.
 
Mkuu i have serious questions with what happened in Arumeru mashariki. It seems that more that 120,000 people were registered, it is only half of those voted. Why? What is the reason behind this, why would half of registered voters not go to polling station?

Simpi credit mweyekiti wa tume hata kidogo, kwa uchaguzi huu mdogo ambao nao haujaendeshwa kwa kiwango ambacho kilitakiwa. We still have a long way to go with NEC.

Mkuu,

Arumeru Mashariki ina wakazi wasiozidi 200,000 au tuseme 250,000. Wanaotambulika rasmi tuseme ni 200,000.

Katika kutoa matokeo ilielezwa kwamba kura 60,000 zilikataliwa na zilizobaki zikaenda kwa Mheshimiwa Mbunge mteule Nasari.

Sasa lawama kwa Jaji Lubuva zinatoka wapi tena ikizingatiwa alitaka computers ziongezwe na akapewa 8 computers ili kuboresha ufanisi wa ukusanyaji wa kura.

Kama mkuu bado una wasiwasi basi weka pingamizi binafsi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom