Wasukuma wa igunga walishindwa, lakini wameru wameweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasukuma wa igunga walishindwa, lakini wameru wameweza

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MWANALUGALI, Apr 2, 2012.

 1. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makamanda wa Arumeru mashariki walikamata wezi wa kura na waliweza kudhibiti kura za wizi zisiingizwe kwenye vyumba vya kuhesabia! Sasa ushindi umepatikana. hivi ingekuwaje kama Makamanda wa Igunga wangeweza kudhibiti wizi? Wao walimkamata Mkuu wa Wilaya akiwa kwenye harakati, wakati Wameru wamemkamata Msimamizi msaidizi red handed akiwa na kura za wizi!!! CHADEMA haikamatiki tena'
   
 2. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nachukua nachukua fursa hii, kutoa pongezi zangu za dhati kwa wana arumeru wote mliojitokeza jana kupiga kura, pia napenda niwapongeze wote mliojitokeza wakati wa mikutano ya kampeni na kuwasikiliza wagombea na sera zao, pia napenda niwashukuru pia kwa kufanya uchaguzi wa amani pasipo kufanya fujo. Na kwa maamuzi mazuri mliyo yafanya ya kuchagua kiongozi wa ukweli na sio bora kiongozi, kwa hili mmeziirisha ukomavu,uelewa wa demokrasia, na ujasiri ulio bobea, kwamba hamkukubali kuuza shahada zenu za kupigia kura, wala kura zenu hamkupiga kwa pesa mlizo mwagiwa. Natumia pia fursa hii, kuwapa pole ccm na wanakampeni wake hasa Benjamini Mkapa, Edward Lowasa, na Sioi si marry, kwa nguvu nyingi waliotumia, matusi majigambo na vitisho walivyo vitoa kwa wanaarumeru iwapo watakinyima kura chama chao, nataka niwaambie ukweli ccm ukweli ingawa ni mchungu niambie usinifiche, vitisho na majigambo kama hayo, walivitumia Igunga na wakawala, ila watambue Arumeru sio Igunga, someni alama za nyakati, kwamba wana arumeru wamechoka hawataki porojo ama propaganda tena wanataka vitendo vya kweli.
   
 3. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Najua kwa miaka mingi huwezi kufananisha mikoa ya kaskazini na kanda
  Kanda nyinginezo nchini. Jamaa walifikiri
  Wameru ni wa Nyamwezi. That was their mistke
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mmmh Igunga nijuavyo kuna wanyamwezi na siyo wasukuma
   
 5. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu huwafichua wezi ccm, shetani huwaficha wezi ccm tulinza na ALFA tumemaliza na OMEGA.
   
 6. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivyo hiyo, Wanyamwezi wa Igunga walishindwa, lakini Wameru wa Arumeru mashariki wameweza kuwakamata wezi na kulinda kura zao sawa sawa!! jannja ya CCM kuiba kura imebainika huko Arumeru, sera za CCm zimesikika vizuri huko USA River na Katiti.Hongera CHADEMA
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Magamba walidhani watafanya janja yao kama walivyofanya Igunga. Kwa Arumeru mashariki thubutu! Chezea pipoz wewe?!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  tumemaliza Arumeru........tunaelekea Monduli.......
  lazima kieleweke.....
   
Loading...