Kwa hili CUF na NCCR mnahitaji pongezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili CUF na NCCR mnahitaji pongezi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Manyanza, Apr 2, 2012.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanza napenda kukipongeza Chama Changu cha Demokrasia na Maendeleo kwa ushindi katika jimbo la Arumeru Mashariki na pongezi za dhati ziwafikie Makamanda wote Dr Slaa, Mbowe Freeman, Rev Natasye, Vicent Nyerere, John Mrema na bila kumsahau kamanda Lema kwa kusimamia Show yote bila Zengwe..

  Nampongeza kamanda Joshua Nassar (Josh Nas) kwa ushindi ulioupata naamini haki haipotei pmoja na kudhulumiwa 2010 lakini haki yako umeipata...

  Nitakua mchoyo wa fadhila nisipowashukuru watani wangu wa jadi NCCR na CUF, kwa kutokushiriki katika uchaguzi huu maana wangeshiriki kulikua na uwezekano wa kuzigawa kura na CCM wangeweza kutumia mbinu hii kujitangazia ushindi, nawapongeza sana wana NCCR na CUF..
   
 2. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hilo sahau kabisa, NSSR na CUF wasingefanya tofauti yoyote, na hilo wananlijua sana ndiyo maana waliu-chuna. Kwani umesahu Igunga? CUF ilikuwa tishio kwa nani?
   
 3. w

  woyowoyo Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kura za CUF ndizo zilizogawa jimbo la igunga tukalikosa, kwa hiyo kutoshiriki kwao kumesaidia wapinzani kutokugawana kura.
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Watani wa jadi ni Rushwa
   
 5. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ningewapongeza kama tu wangekaa pembeni na kumu-endorse Josh kabla ya kupigwa kura. Bila ya kufanya hivyo ni unafiki ule wa sishangilii yanga wala simba bali atakayeshinda.
   
Loading...