Hainess na Machamuli Updates! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hainess na Machamuli Updates!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Borakufa, Apr 2, 2012.

 1. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Viva CDM.

  Wana JF waheshimiwa makamanda wa mwanza walipigwa transfer toka bugando mpaka muhimbili, tupeni taarifa zao sasa wanaendeleaje? maana ushindi mtamu unatufanya kama tunawasahau vile!! pls mwenye habari zao wanaendeleaje mwaga hapa watu tutulie.

  Nawasilisha.
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Not Machamuli! Ni Salvatory Machemli! We are still working out to find the updates! Get well soon Makamanda.
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa kunirekebisa nimeiweka sawa... umeona eeh!
   
 4. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wish them quick recover.

  tuko pamoko.
   
 5. M

  Mwesy Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu awajalie afya. Wwmekuwa kama mashahidi wa Uganda.
   
 6. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nashauri waende hospital kama aga khan au regency....hizi hospital za serikali ya magamba hazina madawa na vifaa
   
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hili linasikitisha sana, kweli nchi yetu iko njia panda! Tunawaombea makamanda wetu mpone haraka. Ugueni pole.
   
 8. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Ila Hii ni Hatari sana!! Kiwira Polisi wameitwa Wachunguze Rushwa inayotolewa wao wameamua Kuwapiga Polisi Jamii waliosaidia Kuwakamata Wahalifu wa Rushwa!! Jamani imekaaje? Mwanza wao wamehisi Kuna Watu fulani wanafanya Kampeni ya Nyumba kwa nyumba! na kuamua kwenda na silaha kuwashambulia!! Je hawa wa kiwira nao wangetumia silaha amani bado ingebakia!! Jamani magamba mnatupeleka ndiko siko!!
   
 9. D

  Darick JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu hata mimi nilikuwa najiuliza sana kuhusu mambo mawili muhimu 1. Makamanda wetu wanaendeleaje? 2. Kata zingine matokeo yakoje kwani najua kata 6 tu kwamba katika hizo Chaedema tumechukua tatu, Cuf moja na CCM 2 lakini sijui kuhusu kata zingine. tunaomba watu wenye habari kuhusu mambo hayo watujulishe
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  poleni sana wabunge wangu. Wishing you quick recovery
   
 11. j

  juni Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wasipochukuliwa hatua waliofanya hivi, chadema wawashughulikie wenyewe mmoja baada ya mwingine maana wanafahamika, huu ni ujinga kwa chama kikubwa kama CCM kuanza tabia za kizamani za kujifanya nterahamwe. ni wakati sasa wa waliobaki huko CCM ambao hawakubaliani na mambo ya walioishikilia ukiwemo mpango huu wa sasa wa kukata watu mapanga wajiondoe, maana angalau sasa wana uhakika kwamba kuna maisha nje ya CCM
   
 12. E

  Eyoma Senior Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani ushindi umekwenda chama gani pamoja na kutaka kutoa roho za watu bure?tujuzeni
   
 13. t

  tongi JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  dua zetu ziko kwa makamanda wetu, Mungu awapatie nafuu ya mapema, hayo ndio mateke ya mwisho ya magamba, lazima yatakuwa na nguvu sana, lakini tusitishike, ndio mwisho wake huo
   
 14. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Get wel soon Camandaz!!
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :rockon: Wameshashindwa kufikiri, wanadhani kuna amani katika kutumia mapanga?
   
 16. j

  jonson Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati umefika sasa ,dhuluma, uonevu na kila aina ya ghiliba sasa vinakwenda ukingoni. aluta kontinua mapambano bado yanaendelea.tuwaunge mkono makamanda wetu .nawaombea makamanda wetu walioumia wapone haraka ili warudi kufanya kazi waliyoiacha.
   
 17. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Sera hii ya magamba kuwavamia na kuwapiga viongozi,wanachama,washabiki wa vyama vya upinzani ndiyo inayoifanya izidi kutokomea na kuchukiwa kwa kasi na watz walio wengi.Mungu si dhalimu juu ya haya mnayotenda mtavuna mpandacho!!!!!!!!!!!!!!:nono: Get well soon Highess and Machemli
   
 18. j

  juliusa87 New Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap,Ni muhimu!
   
 19. j

  juliusa87 New Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Have a soon healing & recovery Comrades!
   
 20. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwakweli inabidii tukemee kwanguvu zote kuharamisha vikosi vya kijeshi vya CCM tulivyo viona pale Kirumba February 5. CCM wanavikosi vya kijeshi, je kila chama kikiwa na kikosi chake cha kijeshi tutasalimika. Tuungane kukemea na kuwachukulia hatua CCM na msajili wa vyama kwa kuruhusu CCM kuwa na jeshi.
   
Loading...