Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda...
8 Reactions
167 Replies
17K Views
Peeeoples ................ Nianze kwa kusema ID yangu isiwape tabu, nimehamia CDM juzi. Nimeona baadhi ya wana JF wanajaribu kujiuliza kilichoiangusha CCM...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
GT Hivi haya magazeti leo yameandikaje maana walishatangaza ushindi wao wakiongozwa na BWM, wakati huohuo Nape akionuesha wazi kutompenda Siyoi Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Vyombo vyetu vingi vya habari Tanzania havina maana ya kutenda haki.Vimekaa kimya mno juu ya shambulio la kudhuru mwili lililofanywa kwa Wabunge wawili wa CHADEMA: Highness Kiwia(LEMELA) na...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Akiwa anatokea kwenye hotel USA alikutanana na vijana CDM baada yakuweka vijana walinzi usuku kucha Lusinde ndo alitoka na mabokisi manne yenye picha za TV lakini ndani kulikuwa na mabox ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi mambo ya arumeru na nimeona machache ambayo ningependa ku share nanyi. Kwanza sikuamini kabisa kama Nassari angeshinda na haikuwa pendeleo langu...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Judge mzee Lubuva hongera kwa kyanza vema na kupasi mtihani wako wa kwanza japo kulikuwa na dosari ndogondogo kama kuzuia matumizi ya vyombo vya usafiri(chopper) na matumizi ya matusi ingawa hili...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Pamoja na ushindi wa CDM huko ARUMERU, je ni kweli CCM hawakufanya uchakachuaji wowote!!!.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi, kimeyapokea matokeo ya kura zilizopigwa na kutangazwa na tume ya Taifa ya uchaguzi kwa chaguzi ndogo zote, ule wa Arumeru Mashariki na zile za kata nane zilizofanyika jana...
62 Reactions
189 Replies
13K Views
"Sumari hakuwa chaguo la wana Arumeru" ni kauli ya(SITTA) mwanamagamba mkongwe mwenye njaa kali ya Uraisi. USHINDI WA CHADEMA ARUMERU ANGUKO KUU LA CCM TANZANIA. Kwa sitta ushindi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba kujua utaratibu wa kufaili complain dhidi ya Livingstone Lusinde kwenye tume ya maadili ya viongozi please naomba website au kama unafahamu taratibu please naomba msaada wako ili tutoe...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Nimeona picha hizi katika Mtungo wa Michuzi nikaona ni vyema niwashirikishe. matukio-michuzi: chadema washerehekea ushindi wao wa kiti cha ubunge arumeru mashariki leo
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Tue, Apr 3rd, 2012 Tanzania | Mon, April 2nd 2012 CHADEMA legislator for Ilemela constituency, Highness Kiwia(left) and CHADEMA's Ukerewe legislator Salvatory Machemli (right) while...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu watanzania ushindi wa chadema arumeru umetufundisha nini ?
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Kama ilivyo ada kwamba ccm inapopoteza jimbo sehemu hukaa chini na kujitathimini kuona walijikwaa wapi. Tatizo la msingi ambalo magamba hawatakaa walitatue ni kutokuwa wakweli, hawatoi sababu za...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna chombo ningekifukuza na wangekataa kutoka ningewamwagia tindikali ni tbc taifa televission na redio hizi zimekuwa mstari wa mebeele kuonyesha matukio ya kampeni za ccm tu lakini cha...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Yafuatayo ndiyo yatakayoifanya Ccm ipotee kwenye ramani ya siasa za Tz kama matokeo ya jana yalivyoashiria. 1. umimi, mnafanya chama na serikali ni zenu na familia zenu. mnapeana vyeo tuu, 2...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Please kama mtu anayo au anajua namna ya kuyapata matokeo ya kata hadi kata nayaomba please ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JF members, this is special salutation with regard to my new presence in this forum, hope you will share with me your experience in all aspects. Thanks to all great thinkers.
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Back
Top Bottom