Maji marefu, Lusinde na Wassira ndio walioingusha ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji marefu, Lusinde na Wassira ndio walioingusha ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Apr 2, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kimsingi hawa watu watatu ndio waliosababisha ccm kupoteza jimbo la Arumeru Mashariki kutokana na sababu zifuatazo;
  Wasifu na weledi wa lusinde na maji marefu ni sifuri, mzee wetu Wassira umri ni kikwazo kwani vijana wengi ambao walikuwa wanahudhuria mikutano ya kampeni walimwona kama babu yao, pili ile picha ya kusinzia bungeni ilikuwa inatumika kama silaha na viwavi wa cdm
   
 2. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  CCM need to change it's leadership faster or it will sit in opposition come 2015. Who on this planet brought Lusinde,Majimarefu and Wasira to campaign in Arumeru?
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waganga wa jadi na siasa wapi na wapi?
   
 4. G

  Golfer2008 Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waende na siasa za kdemocrasia za kileo, mtu kama nape anajua nini cha kufanya ila hana pa kuanzia
   
 5. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  You are what you are bwana. Sa kama hao ndo makada wake kwanini isiwatumie. tatizo sio kutumika kwao ila je kwanini ni makada??????????????????
   
 6. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mtuhumiwa wa kwanza ccm kwa kupoteza jimbo ni El huyu alidhani kampuni ya richmond kula la deki. Halafu eti anataka urais !kichekesho.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,812
  Likes Received: 36,903
  Trophy Points: 280

  HAPANA, wameshindwa arumeru kwa sababu jamii ya werevu inajitokeza kupiga kura.
  CCM hushinda maeneo ambayo wapiga kura wake ni wajinga/hawajaelimika.
  Wameshindwa kwa sababu CCM ni chama kilichoshindwa kunufaisha wananchi wao tena kwa kutumia kodi zao.
  Tabia za kina Wassira na Lusinde ni tabia za viongozi wote wa CCM kwani wamelewa madaraka na wamejisahau na wanaendekeza ufisadi na kuchumia matumbo yao na kuwatelikeza walipa kodi.
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  E bwana umenifurahisha. CCM sasa ni kama republican wa USA. Ni waongo kupindukia. Hawana uzalendo kabisa. Ni chama cha shetani kwa sababu ukiwa mfuasi wa shetani anafurahi sana ila siku ukianza kumtoroka kwenda kwa Mungu basi either atakutafutia vitu vya kukudanganya (ccm kugawa kanga, T-shirt, kuleta akina Lowasa kuahidi, etc) akishindwa kama hujasimama ktk maombi basi anakuua (mfano yule bwana Omar aliyepotea Arumeru, au wale yule kada wa chadema aliyepatikana kauawa Igunga). Kwa hiyo CCM ni chama cha kwenda nacho taratibu, si wema hata kidogo ni wanafika kama shetani.
   
 9. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Leo ndio mnamwona Wassira mzee Igunga alikuwa kijana.
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mimi sifikili picha ya mzee Wasirra kusinzia Bungeni ndio imechangia kwenye matokeo mabaya ya Arumeru Mashariki , tatizo kubwa ambalo Raisi wetu Mh. Jakaya M. Kikwete hajaligunduwa ni kwamba wanachama wa CCM wa lika la Mzee Wasira bado wana remnant ya mawazo ya AWAMU ya kwanza, wengi wao hawajuhi kwamba Tanzania imekwisha badilika sana katika uelewa wa wananchi katika mambo ya SIASA - ndiyo wanajikuta wanafikili wanaweza kusema lolote na kwa kuwa ni Ma Waziri au waliwahi kuwa Raisi na kwa kuwa wanatoka Chama tawala basi wanafikili wananchi watawachukulia seriously-si kweli, JK agewatuma watu kama Mh. Kinana, mzee Lusinde Senior na Raisi mstaafu Mzee H.Mwinyi mambo yangekuwa tofauti kidogo, haya nayasema kwa nia nzuri tu.

  Zama hizi za dot com mtu uwezi kuanza kumshambulia mgombea kwa maneno ya kutunga tu alafu ukategemea watu watakuelewa, matokeo yake unakuta unadhalilisha chama chako na kukifanya kikose kupigiwa kura. Mimi ni mwana CCM lakini kusema kweli sikupendezwa na mbinu za chama changu zilizo tumika Arumeru Mashariki.
   
 11. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45

  Wenzio wote wamelala wanasikilizia maumivu ya sehemu mbalimbali za mwili baada ya kugalagazwa huko arumeru, mwanza, mbeya na ruvuma - we bado unachonga - posho zenu zimefutwa haya kalale.
   
 12. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakubaliana nawe kwenye vipengele fulani, hila nafikili si sahii kusema viongozi wote wa CCM wamelewa madaraka; sikatia wapo walio lewa madaraka lakini si wote. ASANTE
   
 13. s

  silao Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kule arumeru kwanza wananchi hawana tatizo kuuubwa kama vile igunga au lindi ambako barabara bado ni vumbi kwa kwenda mbele. maeneo hayo ukiwaeleza kuwa ccm haijaleta maendeleo hawajui. Sasa wasira yeye alifikiri huku arumeru ni sawa na maeneo hayo na anakotoka yeye. Pale arusha yale yanaonekana siyo maendeleo kwa karne ya sasa na ukimleta watu kutoka jimbo la wasira kule arumeru wataona wapo London. Sasa basi ni vyema watu waelimishwe kuwa ccm haijafanya chochote hata kama wanasema wamejenga barabara ni kuwa kutokana na fedha zinazopatikana kwa madini tu na hazitumiki kwa maendeleo ungekuta jimbo lote la wasira ni lami tupu. Muda wote aliokaa kama kiongozi ni aibu kubwa. Haoni aibu kuja kudanganya wajanja? aende kuwadanganya haohao aliowaloga wanamchagua kila wakati.:high5:
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  CCM imeshindwa kuiba kura arumeru.
  Kama wameru wangezubaa...
   
 15. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni uhuni serikalini umezidi, kuna vitu ambavyo unatakiwa uvidhibiti hata kama maendeleo ni haba watu wanakuwa na imani na wewe.
  Mfano leo hii ukituma kitu chako kupitia aiport za tanzania mpaka utoe rushwa ndo ukichukue hata kama kitu chenyewe hakina ushuru.

  Kuruhusu wale madaktari kugoma nalo ni kuonyesha serikali haiwajibiki kwa vitu vidogo vidogo, kama wangekuwa wanawajibika wale wasingegoma.
  System haifanyi kazi kwa kweli, wakati ule mtu alikuwa anatoa rushwa ili asiende jela mfano ameshitakiwa(rushwa ya namna hii atleast unaona mantiki) lakini leo mtu unatoa rushwa kupata kitu chako mwenyewe umekinunua na umekituma mwenyewe.
   
 16. I

  IWILL JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  **** party must go to hell....
   
Loading...