cuf na cdm nnawaomba muungane uchaguz 2015

thinka

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
334
148
Naamin kwenye siasa hakuna adui wa kudum.cuf na cdm mkiungaNa kuna asilimia kubwa ya kuwaondoa ccm madarakan.
 
Naona hili ni ombi la mwaka itabidi liwekwe kwenye hansard japo halikutamkwa bungeni na ni orijino maombi ya aina yoyote yatakayofuata ni fotokopi...... . .hivi kuna tofauti gani kati ya cuf na ccm?
 
Naamin kwenye siasa hakuna adui wa kudum.cuf na cdm mkiungaNa kuna asilimia kubwa ya kuwaondoa ccm madarakan.

sasa kama wewe ndo unawaomba kwani hujui ofisi za cuf zilipo? Au chadema? Au wewe umeona ofisi zao ziko hapa jf! Anyway chadema wamisha iondoa ccm madarakani kilichobaki ni kukabidhiwa ofisi tu 2015 na watanzania
 
hatutaki kuungana nao bungeni wala kwenye chaguzi hao mademu wa magamba!! wadumishe unyumba kwa mume wao c.c.m magamba,
 
Kuna ndoa ya wake wengi ila hakuna ndoa za waume wengi kamwe.
CUF ameolewa na CCM hwezi kuolewa tena na CDM.

True! Aombe kwanza talaka ndio angalau CDM wamjadili kama anafa au hafai. Ila ushauri wa bure, kwanza akapime akigundua kisha athirika wala hiyo talaka asiombe. Nina mashaka sana kwa sababu hata kitoto kilichozaliwa (ADC) nasikia kiko hoi, bin taabani.

Magamba bana kwa kuharibu maisha ya wenzao! Mwana wa mwenzao anapotea hivi hivi wajameni; kweli magamba ni nouma.
 
wazo la Kuunganisha nguvu na sera inawezekana kwa sasa kwa sababu moja, Hamad aliyevuruga kambi ya upinzani hayupo tena cuf, lakin naona kuna vikwazo viwili, kwanza jusa inabidi abadili mtizamo wake kwa wabara na wakristu. pili seif asiwe katibu mkuu cuf, sababu inaweza ikaleta hoja kwa vyama vingine kuwa CUF NA CHADEMA NI CCM B. au ikibidi waachane na ndoa ya ccm,watakinusuru chama. wazo zuri
 
Ni afadhali CHADEMA waungane na CCM (yes, ccm) kuliko kuungana na CUF.

Historia ya CUF is very shaky kuanzia kwa mzee Jumbe hadi kwa Hamadi Rashid. Na sasa hivi wataungana na CUF ipi? CUF ya Maalim Seif au CUF ya Barwan? Na nani anajua CUF ya Maalim Seif ina makusudio gani na nchi hii?
 
Kwanza CUF wavunje ndoa yao na CCM otherwise CHADEMA watakamatwa ugoni!!!!!!!
 
Ni afadhali CHADEMA waungane na CCM (yes, ccm) kuliko kuungana na CUF.

Historia ya CUF is very shaky kuanzia kwa mzee Jumbe hadi kwa Hamadi Rashid. Na sasa hivi wataungana na CUF ipi? CUF ya Maalim Seif au CUF ya Barwan? Na nani anajua CUF ya Maalim Seif ina makusudio gani na nchi hii?

Interesting lol..

Hakuna sababu ya kuungana kwa sasa, kila moja a fight kivyake kila chama kiwe na wabunge 100 wa kuchaguliwa ndio hizo ndoto zianze kufikiriwa..

Of course tunajua kwamba Chadema wanaiogopa CUF kuliko CCM
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkuu Thinka, ombi lako lipeleke kwanza radio iman na radio kheri. Pamoja na kwamba wazo lako siliungi mkono radio iman hawatakubali hata kidogo na kw ama wewe ni mtafiti na mfuatiliaji utaelewa ni kwa nini nasema hivyo

Vipi radio Maria na Wapo; watakubali chadema kuungana na CUF?
 
Interesting lol..

Hakuna sababu ya kuungana kwa sasa, kila moja a fight kivyake kila chama kiwe na wabunge 100 wa kuchaguliwa ndio hizo ndoto zianze kufikiriwa..

Of course tunajua kwamba Chadema wanaiogopa CUF kuliko CCM

Nakubaliana na wewe kabisa. CHADEMA hawahitaji chama chote ku-fix nchi. Nguvu ya umma na mungu that's what CHADEMA wanahitaji. basi.
 
Sijawahi kuona tayari kuna muungano kati ya cuf na ccm,sasa cuf waungane na cdm kutakuwa na upinzani tena hapo mkuu unaturudisha enzi za chama kimoja? ccm+cuf+cdm no no no haiwezekani hata sikumoja,ccm+cuf yes ishatokea
 
Nakubaliana na wewe kabisa. CHADEMA hawahitaji chama chote ku-fix nchi. Nguvu ya umma na mungu that's what CHADEMA wanahitaji. basi.

Sawa mkuu hata CUF hawahitaji chama chochote ku-fix nchi ndio maana wameshaanza huko zenj..mkakati mkubwa unawekwa kwa upande wa bara kwa sasa..just wait 2015..
 
Back
Top Bottom