Wanabodi.
Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.
Kwa...
Naomba wenzangu kama mkipata nafasi mngejaribu kuangalia documentary movie kuhusu uvuvi wa smamaki mkoani Mwanza. Mimi nieiangalia na kuna mengi sana nimegundua yanatakiwa yajadiliwe
Nchi yetu...
Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na...
Ndugu zangu wanajamvi hili nalo ni jambo ambalo halipingiki ktk mtizamo wa siasa, ama kweli hali ya CDM ni kama ODM kutoka nchini kenya kwa uadilifu wa viongozi wa wao na mipango ya nchi ya kenya...
Wadau naomba mnisaidie katika hili?,
Tulizoe kumsikia kijana wetu, jembe letu, mwanaharakati mwenzetu, mpiganaji n.k akichachafya ndani na nje ya bunge laki tangu bunge lililopita sijamsikia...
Kama ilivyotaarifiwa awali hapa JF ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/249896-kesho-tume-ya-katiba-inaapishwa-ikulu.html ); rais leo anaiapisha Tume ya Katiba.
Jaji Joseph Sinde Warioba...
Leo Profesa baregu kaonyesha ukomavu na nia njema kwa watz kwa kuitikia uteuzi wa JK na kuapa kuwa mjumbe wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya.
Je kapata ridhaa ya CDM ama utashi wake...
Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom...
Wakuu
Katika mambo muhimu yanayotakiwa kujadiliwa na tumalizane nayo katika katiba ni Huu muungano tata.
Lakini hata wanasiasa na vyama wawe waupinzani au waliomo CCM kuna
wanaoona ni bora...
KAUNA MAKUNDI MAWILI NA MUNGU KAYATOFAUTISHA KUANZIA WAZAZI,CHAKULA SHULE NA HATA VVYAMA ILA KWA IMANI YANGU KUNA KUNDI MOJA LITAKALOWEZA KIOKOA TANZANIA KUTOKA KWENYE MAKUCHA YA KINYINYAJI NA...
Ni suala linalojitokeza ndani ya CHADEMA kwamba wameshindwa kumshirikisha Mzee Bob Makani hivyo kukosa mawazo yake yenye busara na uzoefu wa kuendesha nchi yetu. Ikumbukwe kuwa Mzee Makani...
katika hali ya kawaida ofisi yake toka saa 6 usiku ilitakiwa ishapandisha ripoti live kwenye website lakini ukweli ni kuwa jamaa hataki na sijui anaficha nini
National Audit Office of United...
Na Danson Kaijage, Dodoma
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitasimamia uasi dhidi ya sheria mbovu zinazowalinda marais wabovu wastaafu, ambao wameliingiza taifa katika...
Baada ya Raisi kutangaza Tume ya katiba kumeibuka mjadala kwa baadhi ya watu kuona kuwa dini fulani inapendelewa dhidi ya din nyingine, na kupelekea kuhisi kutakuwa na kuipendelea dini yenye...
Miaka nenda rudi tumesikia "mafuriko" na kila mafuriko yanapotekea utasikia "mabondeni". Kila mafuriko yanapotokea zinapigwa picha ya jinsi watu wanavyoweza kusurvive mafuriko hayo. Tumeandika...
Kila kitu kina sababu yake, pengine na wakati wake. Lakini kinachonituma niandike ni ukweli kwamba Tanzania imekuwa na vipaumbele kinzani sana na hali ya maisha na mambo kwa ujumla.
1. Tunapiga...
Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda amezitaka wizara zote kukaza mikanda kwa kuwa hakuna uwezekano wa serikali kukusanya mapato kama ilivyotegemea. Hali hii itaifanya baadhi ya miradi iliyopangwa...
Nimesikia habari kwamba kama uchaguzi mdogo utafanyika Arusha mjini, Dr. Slaa ametajwa kupeperusha bendera ya Cdm.
mimi binafsi naona itakuwa vizuri, vipi kuna mwenye hits zaidi kuhusu hili?
Nashindwa kuelewa nikisikia viongozi na wanachama wa CCM wakisema kuwa kinachowapa ushindi CDM ni makundi ndani ya Chama hicho.CCm ni chama kilichojaa wasomi wenye mashahada ya ajabu sana. Hivi...