Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikitishwa saaana na kauli ya JK aliposema kuwa tunaandaa katiba mpya eti 'watakaoshindwa uchaguzi wakose kisingizio'. Kauli hii inaonesha mapungufu haya: 1) inaonesha ya kuwa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Najua wengi mshaacha kucheki TBCCM but just but that's what is happening Tatizo wanaongea english me siwapati coz nimetoka zile za kata na kingereza changu cha kichina aka feki.
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Suala la udini ni suala ambalo muasisi wa taifa hili julius nyerere alilipigia sana kelele kipindi cha uhai wake.Leo katika hali ya kushangaza watu wawili kutoka vyama vikuu viwili vya upinzani...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Baada ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki niliuona huu upepo. Ukizingatia jinsi ccm walivyojiweka sawa kwa nguvu nyingi za kisiasa kwa kutumia ushawishi wa wanasiasa wakongwe wa nchi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natangaza wazi na kwa moyo wadhati ya kwamba nitawaunga mkono na kuikubali ccm na wanachama wake wote katika maisha yangu yote baadaya ya kupoteza pumzi yangu hapa duniani....CCM...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Source Tanzania Daima Pinda mnafiki kwa kauli za mh Magufuli ni wao ndo wanawaagiza wasambaze kauli za kipendeleo ili chama kishinde Hayo yamesemwa na Magufuli alipokuwa anajibu hoja ya mh Mbowe...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
BY ISSA YUSSUF, 11 APRIL 2012 Zanzibar - MEMBERS of the Zanzibar House of Representatives have asked the government to provide milk for its workers, particularly those working on computers for...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Kwa mtazamo wangu naona wanasiasa wasiwe wanatumia vitabu tukufu vya mwenyezi mungu mfano BIBLIA+QURUAN katika kuapa kwa sababu wanayo yafanya ni unafiki pamoja na kudharirisha vitabu hvyo tukufu...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Nimesoma gazeti Mwananchi kuhusu Ufisadi wa kutisha Serikalini. Pamoja na ufisadi huo, Halmashauri za Wilaya za Sengerema, Ludewa, Moshi, Kishapu, Kilindi, Monduli, Longido na Manispaa ya Ilala...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna wengi walodai kuwa jk na serikali yake ni legelege. Zipo pia takwimu za kisayansi kuonesha kiwango cha uongozi duni wa jk; mfano ni zile za mfumuko wa bei unaoambatana na kupanda kwa gharama...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, amevunja ukimya kwa kumtaka Mbunge wa Kahama James Lembele (CCM), kutogeuka ‘Mbwa mzee asiye na meno’ kwa kutafuta umaarufu...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Idadi kubwa ya wazanzibari ni doa kubwa ambalo litasababisha kukataliwa kwa katiba mpya itakayoundwa. Zanzibar ilitakiwa iwe na wawakilishi wawili tu (2) ukizingatia uwiano wa idadi ya watu...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Mambo ya kushangaza kabisa yanafanywa na wabunge wa CCM. Hivi hawa watu akili zao zikoje, mbona hata mambo ya maana na maslahi kwa nchi wao wanapinga tu, hata kama kifungu kinahitaji marekebisho...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Tangu jana mchana hatukutuma maelezo mengi katika JF kulikuwa na tatizo la mtandao. Naomba kutumia fursa hii kuwatumia maelezo ya tangu jana mchana, hadi sasa ambapo shahidi wa mwisho wa Tundu...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
BAADA ya kuongoza kampeni za uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki bila mafanikio, rais mstaafu, Benjamin Mkapa, anatarajiwa ‘kupambana' katika mjadala kuhusu "hali ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
PACHAwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Regia Mtema (32) aliyefariki juzi kwa ajali ya gari eneo la Ruvu mkoani Pwani, Remija Mtema (32) ameeleza alivyonusurika baada ya kushuka kwenye gari muda...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
Nianze kwa kuwapa pole wale wapenda mabadiliko kwa namna mchakato wa katiba unavyokwenda. Mashaka yanazidi matumaini. Kwa hoja yangu, labda niweke mambo yanayoleta maendeleo kwa nchi yeyote A...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
AgustaWestland image Emergency Medical Services Wakati umefika wa kuondoa Idara ya Uokoaji kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na kufanya jukumu hilo kuwa ni suala la Halmashauri na Manispaa nchini...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
Katika mkutano wa Chadema dodoma,Dogo janja alishangazwa na Serikali ya magamba. Kupeleka police 800,magari ya washawasha 4..na vingine kama waenda vitan vile. Magari 45 ya police Magari 4 ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanabodi. Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo. Kwa...
0 Reactions
98 Replies
13K Views
Back
Top Bottom