Mbowe atangaza maandamano nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malolella, Apr 11, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Safi sana makamnda mpaka kieleweke.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kufanya maandamano si uasi ni haki ya kikatiba. Ni nini hasa dhamira ya hayo maandamano aliyoyatangaza Mh. Mbowe?. Tujuze kwa hilo.
   
 4. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  maandamano yanahusu nn mpaka yawe ya nchi nzima?, kama ni kauli ya mbowe
   
 5. Glue

  Glue Senior Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwahyo maandamano ni uasi? na maandamano hayo ni ya nini sasa? ila nakushauri before kundika anything here, try to have enough information....!
   
 6. U

  UUNTWA Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .
  Kufanya uasi tena,mbona sijaelewa hapo? maana uasi ninao ujua mimi ni wa ama wa kujitenga na kutaka kuanzisha eneo la utawala na ama kutaka kuipundua serikali na kujitwalia madaraka kwa njia ya mapambano/vita.Sasa labda mdau utusaidie kufafanua ni uasi gani huo aliouzungumzia mh.Mbowe? kama ni suala la kuandamana nchi nzima kwangu huo sio uasi, bali ni utaraibu wa kawaida tu katika nchi zinazojali demokrasia ili wahusika waweze kufikisha ujumbe wanoataka kuufikisha kwa jamii husika.Ufafanuzi tafadhali!!!
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Maandamano ya nin?
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  What the hell is this. Kumpeleka mwanao shule ni jambo zuri sana. Hizi vurugu za maandamano kila siku zinatokana na watu kukosa shule ya kutosha. Mbowe, tunakuheshimu sana, usiwe chanzo cha kuleta machafuko hapa nchini.
   
 9. C

  Chokler Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie mnaojifanya wasomi hamtaki maandamano ya Amani mmewahi kufanya nini na huo usomi wenu,msipende kukandamiza mawazo ya watu kama unaona haifai funga mdomo wako kaa na ajanja wako waache watu na ujinga wao.
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Haturudi nyuma
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Dhumuni la hayo maandamano ni nini kama ni uasi tujue moja.
   
 12. D

  Dewiny Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka funguka tuwe tayari huku Mwanza ametangaza kisa cha maandamano nini tujuze vizuri?
   
 13. U

  Userne JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kunya anye kuku akinya bata kaharisha! kwani machafuko yanayofanyika wewe huyaoni? Yaani kila kukicha afadhali ya jana!
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Big Up kamanda mbowe!
   
 15. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Labda wakianza kuandamana ndiyo watatangaza madhumuni.............. either mleta hoja kaleta nusu nusu!!
   
 16. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  akihutubia katika uwanja wa barafu dodoma, mwenyekiti wa chama cha cdm amesema atakuwa muasi wa kwanza Tanzania kwa kile alichodai kuonewa na serikali ya ccm kufuatia kitendo cha kucharangwa mapanga kwa wabunge wawili wa cdm mbele ya askari polisi waliokuwa na smg!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Bado kidogo tu watanzania wote kufunguka
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  elimu izidi kuwafikia wa vijijini zaidi wataamka
   
 19. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana

  magamba yameaanza kupanick

  mpaka mkome kuiba pesa za watanzania
   
 20. E

  EGPTIAN Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uasi tena! Mbowe sasa mhaini! Shauri yako utakula kitanzi!
   
Loading...