Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Apr 12, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  katika hali ya kawaida ofisi yake toka saa 6 usiku ilitakiwa ishapandisha ripoti live kwenye website lakini ukweli ni kuwa jamaa hataki na sijui anaficha nini

  National Audit Office of United Republic of Tanzania

  lakini ana mtetetzi wake atakuja kutea hii incompetency yake na ofisi yake
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  bump////////////////...........
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,328
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa sheria, ripoti ya CAG inageuka kuwa public document mara baada ya kuwasilishwa rasmi bungeni "tabled" not before that!.

  Ripoti hiyo ndio imewasilishwa saa 3 asubuhi hii, sasa wewe uliokuwa unaitafuta saa 6 za usiku, ulikuwa unaitafutia nini?.

  Kuwa mwanga sio mpaka uwangie watu, bali hata kutafuta vitu usiku wa manane wakati vitu hivyo vipo wazi mchana kweupe, pia huu pia ni wanga!.

  Unathubutu kumwita CAG incompetent?!.
  Mwanga mkubwa wewe, peleka uanga wako huko huko walikokutuma!.

  CAG anafanya press conference mida hii baada ya hapo tembelea website, download report!.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  matusi ya nini kaka?

  kata kama tunatofauti haina haja ya kunitukana

  na naomba radhi sana kama nimekuudhi kwa kusema niliyoyasema kuhusu CAG
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Lonestar,

  Unatafuta ripoti saa sita usiku mchana unafanya nini ?.
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  Kwa bahati mbaya hoja zako zote zimekuwa clouded by emotion .

  kulikuwa na ubaya gani ukatoa maelezo bila kutukana na kurusha maneno makali hivyo?

  Nilitaka kukunga mkono lakini nashindwa na sababu kuu ni 3:

  1. Wananchi hawajaelimishwa juu ya hizi ripoti za CAG na ukweli ni kuwa nyingi ni za kiingereza kigumu ambacho wengi hawajui.

  2. Ofisi yake haijatoa elimu kwa raia hata kupitia michukiz blog ili watu wajue mtiririko mzima wa kuanzia ukaguzu, kuandika na majibu yanaotolewa na hao waliokaguliwa, na pia utaratibu wa kuziweka mtandaoni. Waliposema kuwa ripoti itakuwa hewani lhamis hawakusema kuwa baada ya kupelekwa bungeni sasa mleta hoja kakosea nini kuulizia hilo?

  3. Ndio Ludovick utuo ni incompetent na zipo threads nyingi tuu humu ambazo ofisi yake imelaumiwa sasa unataka kukataa nini?

  4. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 40 sasa unataka kutuambia kuwa kati ya hao anayeulizia ripoti za CAG ni mpaka atumwe? acha dharau zao hizo.

  5. Kwa mtu mwenye nafasi yako kuja humu na kutoa matusi si mahala pake kabisa kwa sababu ya heshima yako kama kaka na baba pia. hivi utajiskiaje wanaokujua wakija na kusoma matusi unayovurumisha humu?

  Pasco you are better than that.
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Pasco umechemsha hapo

  kubali yaishe
   
 8. m

  mangwela Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lets forgive him he doesn't know what he is saying. Hana tofauti na Vodacom premium league
   
 9. l

  ladyagst Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja ya msamaha Kama binadamu kuteleza ni kawaida cha ajabu ni kuangukia kisogo otherwise Pasco ameonesha hisia Kali maana binafsi sijui sisi watanzania hulka yetu ikoje? Badala ya kupongeza mtu anayetimiza wajibu wake kwa uweza wake wote licha ya changamoto lukuki anazopambana nazo tunajitahidi kumuonesha sikitu bad enough kujaribu kuwashawishi na wenzetu waamini mapungufu yetu kuwa nod uhalisia. Wadau swali langu dogo tu hivi ki uhalisia wangapi walikuwa wanafaahamu kuna ripoti za CAG na ripoti hizi zinapatikana kwa wwnanchi Kabla ya kuteuliwa Utouh kuwa CAG? Jamani waungwana mtakubaliana na mm kuwa ufahamu wa ofisi ya CAG ulikuwepo kwa Wengi wenye taaluma ya uhasibu na has a katika level ya serikali bad enough hata serikalini Wengi aw watumishi ukiachana na wahasibu walikuwa hawaijui ofisi hii licha ya ukweli kuwa ofisi ya CAG imekuwepo Kabla ya uhuru wa nchi hii nahaijawahi kufutwa isipokuw a imeendelea kuboreshw a. Kama tunavyojua swala la kuelimisha umma c lelemama linahitaji pesa basi. Tukubaliane na ha tua aliy opiga CAG bw. Utouh kwa kujaribu kuelimisha umma na Kama tunaona kuna njia hajaitumia tumshauri bw. Utouh ni sikitu sana at asikiliza Kama hula mini Tanya utafiti kwa waandishinwa Jabari Mimi naweza kusum a ni Mano wa kuigwa na viongozi wa serikalini nduguzanguni Penye ukweli na sifa tumpe na alipofanya kwa udhaifu tujengane. Watanzania tujenge utamaduni wa kupendana na kuwawajibisha viongozi wazembe sio kuwavunja mayo wawajibikaji. Dhambi hata kwa Mungu. Ofisi ya CAG imekuwepo tangu mkoloni lakini imeanza kujulikana lini kwa raia???
   
 10. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Pasco kasema ukweli, sema tu amekua mkali kuliko hata Utouh mwenyewe! CAG yuko vizuri sana kichwani sawa sawa na Hoseah wa PCCB na Mama Blandina Nyoni. Tatizo ni bosi wao! (nimewaingiza Hosea na Nyoni kwasababu ni kati ya viongozi wanaosemwa incompetent kwa kusingiziwa)
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Uungwana ni kuomba msamaha na kusamehewa. utamsameheje mtu kwa kitu unachodhani yeye kafanya kosa ili hali yeye haamini kuwa kafanya kosa?
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mtetezi wake ni nani?
   
 13. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Inawazekana kila mtu akasema lake ila taifa hili linatatizo laviongozi, weng wamepewa ili wawalinde, weng wanafanya kaz za chama na sio za serikali. Hivyo mtu kuja hapa nakumsifia, either of them nakutukana watu mimi namuona niwalewale. Taifa hili linawatu wenye akili na uwezo kushinda Ludovic na yeye anajuwa. So hata yeye hatufai, ameficha mauchafu meng na kama yangeanikwa hapa uyo Pasco angefunga domo. Mungu ibariki Tanzania nakuwaokoa watanzania ktk midomo ya mafisadi.
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Unajua wakuu nimeshtuka kwa kiasi kikubwa majibu ya Pasco. Anyway, hakunaga muda maalumu wa kusoma kitu unachotaka kukifahamu.
   
 15. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  internet ya ofa
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,328
  Trophy Points: 280
  Lone Star, naomba kuchukua fursa hii kukuomba msamaha. Nakuomba radhi sana kwa jinsi nilivyo kuita.

  Naomba kukiri udhaifu wangu binafsi kama binadamu ki ukweli nilipandwa na hasira sana wewe kuitafuta ripoti ya CAG saa 6 usiku kabla haijawa public document na kumuita CAG incompetant kwa hilo.

  I took it personal uliposema mtetezi wake!.

  Sorry kwa yote ila pia unapotoa shutuma kama zile, kuwa muwazi zaidi kwa kuonyesha the motive behind ili wanaokusoma wajiridhishe umetoa tuhuma zile in good faith!.

  Kwa wengine usiofahamu, CAG Utouh ni miongoni mwa watu wanaopigwa vita sana mafisadi wa fedha za umma, hivyo baada ya kuisoma thread ile nili reach conclusion ni wale wale wa zile kampeni za chini chini kum discredit Utouh!.

  Samahani sana kwa yote!.

  Pasco.
   
 17. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 18. p

  papillon Senior Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ripoti zinapatikana ktk website baada kuwasilishwa bungeni jana and u can download then www.nao.go.tz kwa lugha ya kiswahili na english.
   
 19. m

  mjanja1 Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pasco amekula tenda ya event mgmt kwenye press confr ya utouh so msishangae sana. But tuseme ukweli nan alijua ripoti ya cag bf utouh ukiacha wabunge wachache na wahasibu. Tatizo kubwa ni mfumo wa kisheria uliopo .CAG ni mteuliwa wa raisi na ki binadamu anaaibu na hawezi kumuangusha. Pia ofisi yake inaletewa waajiri na utumishi i.e watumishi wa umma ambao waweza hamishwa na wanalipwa mishahara km others dspt risks wanazopata. Standars za kimataifa zinataka CAG awe huru na aripoti kwa wananchi kupitia bunge. Pia anatakiwa aajiri na kuamua malipo ya watumishi wake. Ripoti zinapashwa kwenda bungeni directly. Haya yote hayapo. BUT THE GUY IS STILL DOING IT NDO MAANA HATA WEWE UNAJUA KUWA KUNA RIPOTI NA OFISI INA WEBSITE ETC. BIG UP UTOUH. BADILINI SHERIA N KATIBA NDO TUANDE KUMULAUMU. MYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
   
 20. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Pasco wewe ndo mwanga ka umesoma Tz lazima utakuwa unaujua ukweli. Ni kweli report jamaa hatoi so hatutendei haki wa tz. Umebahatika kuona zile katuni wanaonyesha Star TV at the time wanasoma habari? Najua wewe ni huwa unaangalia TBCCM so huwezi kuona.
  Na hiyo point yako ya mwanga siyo lazima uchawi na kama kufanya kazi usiku wewe unaona wanga is bcause mnafisadi hela zetu kirahisi na kununua hayo magari yenu yanayofanana kama mlivyo nyinyi Mafisadi na mawazo yenu yasiyofikiri na kwenda na kasi ya mabadiliko ya watu na nyakati. So tuache sisi wenye kutafuta kwa haki tufanye kazi hiyo usiku na mchana ili nyinyi mkate vizuri hiyo PYE YENU.
  So Pasco this is to dedicate you. Hakuna kitu kisichokuwa na mwisho so is better u stand on the truth forever n ever
  Mungu wako akubalki nasema hivi cz nyinyi mna Mungu wenu
   
Loading...