Habari zenu wadau,ni kawaida kwa radio na Tv stations zetu kutoa marudio ya hotuba za Nyerere ktk kipindi cha kumbukumbu za ama kufa au kuzaliwa kwake ila bado sijasikia ama kuona hivi ikifanyika...
ndg wajumbe chama cha mapinduzi ni chama tawala hapa nchini, pamoja na kwamba ndicho chama kilichoshikilia usukani wa uongozi lakini kimekuwa kikikumbwa na lawama nyng sana kama tuhuma za ufisadi...
Wana JF,
Mimi nataka kufahamu ni kwa sababu gani Zito Kabwe haandamwi na matatizo ambayo wanapata Viongozi wengi wa CDM?
Mfano:
1. Kwenye tukio la January 5 2011, ilikuwaje hakuwepo kwenye yale...
Nafahamu lengo la chama chochote ni kushinda uchaguzi. Napenda kuwaambia CHADEMA kuwa katika chaguzi ijayo ya mwaka 2015 ninyi msikimbilie Ikulu kwanza but rather mhakikishe mnakuwa na mkakati...
Kuna mijadala mingi inayosuport na kupinga composition ya wajumbe wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya kwa sababu mbalimbali. Lakini mimi nadhani swali la kujiuliza ni kwamba. Ilikuwaje...
Nashindwa kuelewa nikisikia viongozi na wanachama wa CCM wakisema kuwa kinachowapa ushindi CDM ni makundi ndani ya Chama hicho.CCm ni chama kilichojaa wasomi wenye mashahada ya ajabu sana. Hivi...
Muda huu naangalia bunge ambapo Mh. Freeman Mbowe kamuuliza Mh. Waziri mkuu kuwa kumekuwa na utaratibu wa mawaziri wa ccm wakiwa wanatumia magari ya serikali wanahudhuria kampeni na kuwatishia...
TUWACHE KUJADILI TUME YA KATIBA NA BADALA YAKE TUJADILI MUUNGANO AMBAO UNAWEZA KUSABABISHA VITA KATIKA NCHI YETU INAYOTUUMA NA WANZETU WANAOMBA WANGELIKWA WAO NDIO WANAIMILIKI HII TANZANIA, maana...
...you did a lot for this country, but there are now people who claim credit for what you did! I teach and my greatest aim is to make every student of mine gets to know - and hopefully gets to...
Namna hii si atachemsha hata kabla ya kipute chenyewe kuanza?
Baada ya waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kuzindua tamasha la Pasaka sasa naona imeanza...
Mategemeo ya wanaharakati na wanasiasa haswa wa vyama vya upinzani hata wana CCM wenye muono wa mbali yalikuwa ni kupata katiba mpya yenye kuwasilisha mawazo ya watanzania kwa ujumla wake itakayo...
Source Kutoka Bungeni
Ndo mkuu wa kaya kesho anawapa meno wateule wake michango yetu hapa jamvini imesaidiaje? Na kwa ujumla wake tumepigwa changa la macho kwasababu tuliambiwa ataapisha mwisho...
Bunge la kumi lilipoanza ccm walibadili kanuni ili kamati zile za kudumu ambazo huwa zinakuwa chini ya upinzani zisiende cdm kwa kuwa cdm ni theat kwao!katika kufanikiwa hilo kanuni zilizoiruhusu...
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti...
CCM inatambua kuwa kupata msiba wowote wa mbunge wao katika kipindi hiki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 ni kupoteza jimbo.Wananchi hawana imani nanyi na kadri siku zinavyosogea Mungu...
Steven Charles Kanumba.
Na Hemed Kisanda
Mwigizaji the big name ndani na nje ya Bongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great' amesema licha ya kuwa kwenye orodha ya mastaa watakaokosa zoezi...
Ninapendekeza kwa Mwenyekiti wa tume ya katiba na jamii pana ya waTanzania ukusanyaji maoni upate live coverage ya TV na Radio. Hii itasaidia watanzania kuona na kusikia kila kitakachokuwa...
Kwa mara nyingine tena, nawahimiza vijana wenzangu kujitokeza mapema.kuanza harakati za kiuongozi kuziba mapengo yaliyopo ya madiwani wa ccm jimboni iramba magharibi. Nasema kuziba mapengo kwa...
mwenzenu nimestaajabishwa na kitendo cha kuona kuwa wahusika wanaotakiwa ku-up-date taarifa za serikali kwenye mitandao ya intaneti hawafanyi na kutimiza wajibu wao ipasavyo, hebu jaribu kujionea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.