na Danson Kaijage, Dodoma
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitasimamia uasi dhidi ya sheria mbovu zinazowalinda marais wabovu wastaafu, ambao wameliingiza...
Fikiria kwa makini alichokisema
Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?
NOTE - Ninaediti post hii ili kuongeza theme ya threads zangu
zingine ambazo mods wanaziunganisha na hii bila...
Wanabod Waaasalamu aleikum & Bwana asifiwe,
Kuna yeyote mwenye update za kesi zifuatazo atujuze??
1. Karamagi na mwenzie kesi ya ubadhilifu.
2. Mwakalebela na Mrs Sitta - Kesi ya rushwa.
3...
Hi imejidhihirisha baada ya wapambe wa ccm pamoja na lowasa kishiwa mbwembwe,
zile kelele na mbwembwe za wapambe wa Lowasa kuwa lazima awe raisi zimeyeyuka ghafla,baada ya chadema kuwagaragaza...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempatia aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, helikopta na vifaa vingine kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukiunga mkono chama...
Yani ni aibu tupu eti leo ndio wanasimama bungeni kumkumbuka mahundi na kyaro. Aibu tupu juzi ndiyo yalisimama kumkumbuka kanumba. Yani ni aibuuuuuuuuuuuuuuuuu
Gazeti la Uhuru limepambwa na kichwa cha habari Pinda kamzima Mbowe bungeni kwa maandishi makubwaaa.
Hivi kweli Pinda anadhani maswali mazito kwa majibu mepesi kwa matumizi mabaya ya nyazifa za...
Hizi kauli za Watanganyika kuwa eti ni kisiwa cha amani, wapole, wakarimu,wasikivu imetufanya tunyang'anywe haki zetu za msingi ndani ya nchi yetu pendwa Tanganyika. Hivi kweli Watanganyika ni...
Hali ya maisha ya wakazi wa Mang'ula yako hatarini baada ya kundi kubwa la tembo kutoka milima ya Udzungwa kuvamia mji mdogo wa Mang'ula. Mamlaka husika ichukue hatua haraka kabla madhara makubwa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye amekivua nguo chama tawala.Amedai kuwa wakati wa kampeni,vyama hubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza wahudhuriaji.Watu hao,ingawa si wapiga...
Wana JF.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wananchi wa Arumeru Mashariki wakimachagua kuwa mbunge wao atashusha bei ya sukari, ni vizuri angeanza na hili la Sukari na...
Wanabodi nilikuwa nasoma makala kwenye Gazeti la Raiamwema ambayo imeandikwa na Msomaji Raia yenye kichwa cha Habari Majaji wana chanjo ya kutotumiwa kisiasa? nikakutana na sntensi zifuatazo...
pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei
I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei...
Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi...
yatupasa kuwaombea labda watabadilika nakufuata njia ya kweli kuliko kuishi kinafiki ilihali ukwli mnaujua...tuachieni nchi yetu maana nyie hamna uchungu nayo.....
Wakati wa uchaguzi, mpiga kura anapewa karatasi ya kupiga kura yenye majina na picha za wagombea kadhaa. Mpiga kura anatakiwa aweke alama ya vyema (√) chini ya picha ya mgombea anayempenda...
Katika hali ambayo niya kushangaza kabisa,mzindakaya anapewa maagizo na kiongozi mmoja wa kenya amsaidie mualifu aitwae davis antony mragha ngoo ambaye alikuwa amekamtwa na uhamiaji kwa kosa la...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni (Sefue wa pili kushoto), akifatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Umoja wa Mataifa, Bwana J.Haule (wa pili kulia) watahudhuria vikao...
Kesho tume iliyoundwa na Rais itaapishwa rasmi ikulu Dar.
Nawasihi Wtz wenzangu tuache malumbano yasiyo kuwa na msingi kuhusu wajumbe dini zao wametokea wapi ni wa vyama gani nk.Jambo la msingi...
Ndugu zangu twaweza ukajiuliza kwa nini matatizo mengi na ya ajabuajabu na siyo kuwa nakichwa
wala miguu yatokee tanzania,baadhi ya mambo ambayo tumekiuka ni haya hapa:-
→fitina na uonevu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.