Profesa Baregu Hongera kwa kukubali uteuzi wa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profesa Baregu Hongera kwa kukubali uteuzi wa JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Apr 13, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Leo Profesa baregu kaonyesha ukomavu na nia njema kwa watz kwa kuitikia uteuzi wa JK na kuapa kuwa mjumbe wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya.

  Je kapata ridhaa ya CDM ama utashi wake binafsi, kwa vile uongozi wa CDM ulitamka wanatafakali uteuzi wa JK??
   
 2. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  all the best to him
   
 3. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Tunahitaji kuona kazi itakayofanywa, kukubali ni jambo moja na matokeo ya kazi ni jambo jingine
   
 4. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamani muwe mnazishughulisha akili zenu angalau kidogo jina lake lilipelekwa na nani kama hakupata ridhaa ya CDM.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni msomi aliyebobea 2msapoti naamini atafanya kazi nzuri, baregu ni kichwa ndani ya jopo.
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Natamani Dr. Lwaitama angekuwepo ktk list hii.
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huwezi kurusha uzi usiohusu CHADEMA coz you have got nothing else to say!!
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...na alivyo m'bishi!
   
 9. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  naomba kwa wanaojua wanijuze chadema walipeleka majina gani?
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Inavyoonyesha kila institution ilipeleka jina moja
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  its too late! mabasi yote yameshaondoka, limebaki hili lori tu, lazima tulipande tupende tusipende,
  njia nyingine ya usafiri ni ya gharama kubwa, twende na lori, likipata pancha njiani tutalazimika kutumia usafiri mbadala.
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  ache akalambe hizo allwansi maana hata akiziachia wajanja watazilamba...................lakini katiba mpya tusubiri sana wanachofanya ni minimu reforms za kutusaidia tufanye uchaguzi ujao kwa amani
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni wazi kuwa CDM ndiyo ilimpendekeza. hivyo sidhani kama watapinga uteuzi wake!
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hata wajumbe wote wangekua ccm katiba nzuri itapatikana tu!cdm tupo mtaani sasa tunaelimisha through M4C!harakati viva!
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Hivi hujui kama huyo jamaa anatumia kijambio kufikri?
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Rise Above Hate -John Cena
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Tunasubiri kuona uwakilishi wake.
   
Loading...