Justin Nyari ameanza mbio za kumrithi Lema Arusha

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
Wanabodi.

Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.

Kwa sasa anasubiri rufaa ya Lema...ameona ni bora kuanza sasa kuonesha nia ya kugombea ili mchakato ukifika iwe rahisi kupiga kampeni.

CCM Arusha wanasema safari hii lazima waweke mtu makini mwenye ushawishi.
 
Wamweke Mkapa
 
Mtamtaja kila mtu lakini mjue kabisa CDM hatupigi kampeni tutasubiri tu kupiga kura.

A town Opportunity nyingine ya kuwaumiza CCM na Magamba yake hiyo... Principle ni moja tu wakitoa hela chukua lakini kura lazima zilindwe maana katika hali ya kwaida CCM wanashinda kwa kuiba kura tangu 1995.
 
Wanabodi.

Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.

Kwa sasa anasubiri rufaa ya Lema...ameona ni bora kuanza sasa kuonesha nia ya kugombea ili mchakato ukifika iwe rahisi kupiga kampeni.

CCM Arusha wanasema safari hii lazima waweke mtu makini mwenye ushawishi.

Mkuu Kata ya Mererani iko Jimbo gani?
 
mkuu kata ya mererani iko jimbo gani?
huyu jambazi na muuaji mkubwa aliyetunyima usingizi wana arusha awe mbunge??? Kweli magamba mmeishiwa, hamna jipya tena, ss naamini kweli ccm yote imechafuka, yaani nyari ndo mnamuona mtu makini, mungu wa mbinguni tuepushe na hili balaa la huyu jambazi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapana atagombea kwa tiketi ya CCM habari ndiyo hiyo. CDM wanampango wa kuweka jiwe kushindana naye kwa uhakika wa kushinda kwa kishindo kinachozidi cha Aumeru Mashariki.
 
Wanabodi.

Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.

Kwa sasa anasubiri rufaa ya Lema...ameona ni bora kuanza sasa kuonesha nia ya kugombea ili mchakato ukifika iwe rahisi kupiga kampeni.

CCM Arusha wanasema safari hii lazima waweke mtu makini mwenye ushawishi.
...............jambazi
 
Mkuu hebu tuambie umakini na ushawuishi wa huyu jamaa kwa wanaarusha ni upi
Amewafanyia nini watu wa arusha mpaka awe na huo umakini
Kwa hapa arusha historia inamhukumu na matendo yake yanamhukumu
hatuiwezi kuwasemea watu kuwa wana makosa ila mkuu sijauona huo umakini na ushawishi wa huyu unayemsema
Duh ama kweli magamba wameishiwa mpaka Nyari
 
Wanabodi.

Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.

Kwa sasa anasubiri rufaa ya Lema...ameona ni bora kuanza sasa kuonesha nia ya kugombea ili mchakato ukifika iwe rahisi kupiga kampeni.

CCM Arusha wanasema safari hii lazima waweke mtu makini mwenye ushawishi.

Duh ndugu yangu!!
Mbona watoto wa Ben Mkapa hatukuwaona wamejiingiza kwenye politics kama watoto wa huyu mzee wa misiba.
Ushauri wangu ungekuwa kama watoto wa Ben ingependeza...
 
Back
Top Bottom