Tundu Lissu yuko wapi sikuhizi? namtafuta sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu yuko wapi sikuhizi? namtafuta sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duma R. SIFFI, Apr 12, 2012.

 1. D

  Duma R. SIFFI Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba mnisaidie katika hili?,
  Tulizoe kumsikia kijana wetu, jembe letu, mwanaharakati mwenzetu, mpiganaji n.k akichachafya ndani na nje ya bunge laki tangu bunge lililopita sijamsikia popote pale sio Arumeru wala Kirumba, naomba kujua hili jembe limeingia mitini wapi? Kama kuna mtu mwenye taarifa yeyote naomba anijuze kilichomkuta mwanaharakati huyu.
   
 2. m

  mtamba Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Yuko sgd.Magamba wamemfungulia kesi ya uchaguzi.eti ameiba kura.
   
 3. D

  Duma R. SIFFI Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tundu Lissu!
  Tulishazoea kumsikia akichachafya kila kona ndani na nje ya bunge, siku hizi Tundu Lissu yuko wapi? maana sio Arumeru wala Kitumba hajasikiki hata kidogo, naombeni msaada kujua yuko wapi Lisssu kama mwanaharakati, Jembe, mpambanaji n.k
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Yupo singida anawaburuza wazembe mahakamani wamemfungulia kesi kama walivyofanya kwa Lema, kwa kisiki hiki sijui kama watakiruka labda tena hukumu itoke ikulu
   
 5. m

  mwanakaya Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  anakabiliwa na kesi kuhusu uchaguzi mkuu uliopita balaa lake ni kwamba wanaomshitaki wameanza kuiogopa kesi!tusubiri
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  yuko kwao Singida kwenye kesi ya uchaguzi.
   
 7. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kila lakheri kamanda wetu,
  Mola atakusaidia kuondokana na hila za magamba (magamba?)
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yuko kwenye kesi iliyojaa umbeya mtupu kama ile ya Lema.
   
 9. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna kesi ya mipasho iliyofunguliwa na magamba huko singida eti aliiba kura,naamini atashinda labda jaji awe hadija kopa kama yule wa lema
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yupo Singida kushughulikia kesi. Marando yuko wapi?
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Marando anatafuna pesa za Yusuph Manji.
   
 12. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  magamba yanamchelewesha,ili yapumue kwanza,vinginevyo yangekohoa na kutema damu.
   
 13. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli!
   
 14. m

  mwikumwiku Senior Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amejikita zaidi kwenye kesi yake ya uchaguzi! Anaogopa yasijemkuta yaliyomkuta Lema! Ubunge mtamu!!!!! Mimi siyo gamba jamaniiiiiii
   
 15. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli uwezekano wa kushindwa kesi lisu ni sawa na mbingu na ardhi. Labda jk aingilie kati, kama haki itatendeka jembe litaendelea kutesa bungeni juu ya magamba.
   
 16. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lissu ni the next target ya Magamba baada ya kumshughulikia Lema.Ila kila jambo lina mwisho.Mnyika nae wanamuumia meno.
   
Loading...