Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,653
26,385
Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na hata ku record some audio and video clips kwa makamanda wote ambao hampo Arusha - (Peoples .......)
Mhe. Mbowe Kasema CHADEMA itakata RUFAA siku ya Jumanne, hivyo wananchi tutulie.

We just wait to be activated!

Lema amesema atatumia basikeli, pikipiki, punda, fuso au choper ili kutembea Tanzania nzima na kutia chachu ya mabadiliko. Anataka kuifanya Tanzania ifanane na Arusha.

Hayo ndiyo yanayojiri hapa kwenye viwanja vya NMC.
Baadhi ya picha za mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC - Arusha hii leo...

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php

Umati mkubwa wa wakazi wa Arusha waliojitokeza katika mkutano wa chadema leo

attachment.php


attachment.php

Nawasilisha
 
Nipo Arusha kuna ukimya sana sijui magamba wameshatuwekea giza kupitia kamanda Andengenye?
 
Yani kila kitu kitakuwa hapa, jana gari la matangazo ya mkutano walilizunguka na walisikika wakisema tunamtaka lema. Hakika ccm aibu watakayoipata hawatokuja kuisahau
 
Back
Top Bottom