Chadema tumieni busara za mzee Makani

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Ni suala linalojitokeza ndani ya CHADEMA kwamba wameshindwa kumshirikisha Mzee Bob Makani hivyo kukosa mawazo yake yenye busara na uzoefu wa kuendesha nchi yetu. Ikumbukwe kuwa Mzee Makani ameshiriki sana kuitangaza Chadema usukumani LAKINI FADHILA YA MBUZI NI MATEKE; NA LEO HII AKINA MBOWE HAWATAKI KUMSHIRIKISHA KATIKA BARAZA LA WAZEE. HUKO NI KUKOSA FURSA YA KUTUMIA USHAURI WAKE ILI KUFIKIA MAAMUZI YENYE TIJA NA FAIDA KWA TAIFA LETU
 
Kichwa kamasi at work. Una uhakika na unalolisema? gamba wewe.
Punguwani huyo hajui alisemalo na wala hata Jumanne Makani mwenyewe hamjui bali amekaririshwa kama Kasuku. na hata hajui afya ya Makani ikoje sasa hivi huyu poyoyo.
 
Toa evidence (Mikoa mingapi na kwa kiasi gani) kama alitangaza CDM usukumani, mbona unaleta ukabila! una uhakika gani kuwa hashirikishwi? kwani mpaka umwone amekaa kwenye kikao? unajua afya ya huyu mzee wetu iko ktk hali gani? acha uchonganishi.
 
Ni suala linalojitokeza ndani ya CHADEMA kwamba wameshindwa kumshirikisha Mzee Bob Makani hivyo kukosa mawazo yake yenye busara na uzoefu wa kuendesha nchi yetu. Ikumbukwe kuwa Mzee Makani ameshiriki sana kuitangaza Chadema usukumani LAKINI FADHILA YA MBUZI NI MATEKE; NA LEO HII AKINA MBOWE HAWATAKI KUMSHIRIKISHA KATIKA BARAZA LA WAZEE. HUKO NI KUKOSA FURSA YA KUTUMIA USHAURI WAKE ILI KUFIKIA MAAMUZI YENYE TIJA NA FAIDA KWA TAIFA LETU

Stupid at work!
 
MAFILIFILI, nakuunga mkono kwa maoni yako, si vyema wana JF kudharau maoni ya mtu.
ni kweli chama chetu kimepoteza dira kwa kufuata maoni ya watu waliochoka na hii ni hatari sana, wazee wetu wana umuhimu sana ndani ya chama kutokana na hekima zao zilizojaa.
 
EmptyGasGauge.jpg
 
Kukumbushana ni wajibu ili CDM kiwe chama mbadala hivyo msipende kusifiwa kila wakati, ipo siku utakuwa uchi tukikuambia vaa nguo utasema hapana!!
 
ccm imetupa kila kitu alichokianzisha nyerere,leo waje kutushauri chadema ajabu na kweli.
naomba mafilili uniambie hivi vitu vinatumikaje ndani ya ccm?
MIIKO YA UONGOZI
AZIMIO LA ARUSHA
VIWANDA,NGUO,CHAI,VIATU,DAWA,SAMAKI,USINDIKAJI,MARUMARU,SUKARI,SARUJI,BISKUTI,NK
MIGODI,KIWIRA,MWADUI WILIAMSON NA KIWANDA CHA KUKATA ALMASI CHA TANCUT IRINGA.
SHIRIKA LA NDEGE,RELI,NASACO,SUKITA,KAUDO,KAUMA,MORETCO,NK?

madini aliyokataza tusichimbe mpaka tuwe na uwezo sasa hivi yanachimbwa na nani?na taifa linafaidika nini?:

ukiwa mnafiki usiwe msahaulufu.
 
MAFILIFILI, nakuunga mkono kwa maoni yako, si vyema wana JF kudharau maoni ya mtu.
ni kweli chama chetu kimepoteza dira kwa kufuata maoni ya watu waliochoka na hii ni hatari sana, wazee wetu wana umuhimu sana ndani ya chama kutokana na hekima zao zilizojaa.
empty%20head-thumb.gif
 
Back
Top Bottom