Naombeni mnisaidie kati ya hawa vijana ni kundi lipi litakaloiokoa tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni mnisaidie kati ya hawa vijana ni kundi lipi litakaloiokoa tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ringo Edmund, Apr 13, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  KAUNA MAKUNDI MAWILI NA MUNGU KAYATOFAUTISHA KUANZIA WAZAZI,CHAKULA SHULE NA HATA VVYAMA ILA KWA IMANI YANGU KUNA KUNDI MOJA LITAKALOWEZA KIOKOA TANZANIA KUTOKA KWENYE MAKUCHA YA KINYINYAJI NA WIZI WA MALI YA UMMA.
  kundi la kwanza limelelewa katika system hivyo kunawezekana kuijua hiyo system ikawa rahisi kututoa katika huo udhalimu.
  KUNDI LAPILI NALIFANANISHA WAANZILISHI WA TANU NA ASP KWANI WAKATI HUO KULIKUWA HAKUNA WATOTO WA VIONGOZI WALA TABAKA LA MATAJIRI

  KUNDI LA KWANZA.

  NAPE NNAUYE
  HUSEIN MWINYI
  ADAM MALIMA
  LIVINGSTONE LUSINDE
  VITA KAWAWA
  WILIAM MALECHELA
  MAKONGORO NYERERE
  MATAYO DAVID MATAYO
  JANUARY MAKAMBA
  IMANUEL NCHIMBI
  NK.

  KUNDI LA PILI.

  ZITO KABWE
  JOHN MNYIKA
  GODBLESS LEMA
  JOHN HECHE
  HALIMA MDEE
  JOSHUA NASARI
  FREEMAN MBOWE
  SILINDE
  KITILA MKUMBO
  HYNESS KIWIA
  SUGU
  NK.

  naomba mjadili kwa uhalisia badala ya ushabiki na jazba.
  nawakilisha.
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Sitaki kuamini kwamba unataka kusikia comparizon kati ya Mnyika na Lusinde, naona kama unakiuka misingi ya haki ya kujieleza.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Tusiwadiskasi kama kundi, kila mmoja ana sifa zake kipekee.

  Katika kila kundi kuna wazuri na wabaya.

  Afu mboma wengine wakukuu kuu kabisa?
   
 4. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwanza January Makamba alitakiwa awe kwenye hilo kundi la akina Mnyika
   
 5. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mmmh kundi la kwanza mbona lina majina yanaleta ishara za KIFALME baba zao walituongoza mpaka tumezungukwa na umaskini nadhani kundi la pili lipewe nafasi ya kuleta mabadiliko ya kweli sitegemei jipya kutoka kwa MAKONGORO,JANUARY,VITA,NAPE,MALECELA,ESTHER BULAYA,BASHE na vibaraka wengine wengi.
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli. umechanganya vifaranga na kuku!
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Unawacompare kwa vigezo vipi?
  huwezi kumuweka ZITTO na SUGU kundo moja, Lusinde na Makamba kundi moja maana wana tofauti kubwa sana,
  hakuna point ya kujadili hapo!
   
 8. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  lusinde ataokoa nini zaidi ya kuharibu wana wetu kwa kuwafundisha kutukana??
   
Loading...