Dr. Slaa kugombea Arusha mjini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa kugombea Arusha mjini.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Smartboy, Apr 8, 2012.

 1. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimesikia habari kwamba kama uchaguzi mdogo utafanyika Arusha mjini, Dr. Slaa ametajwa kupeperusha bendera ya Cdm.
  mimi binafsi naona itakuwa vizuri, vipi kuna mwenye hits zaidi kuhusu hili? a town.jpg
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata wewe ukigombe kupitia CHADEMA kampeni zikapigwa nina uhakika utashinda watu hawaitaki CCM tumaini lao kwasasa ni Chadema......
   
 3. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haaa sina mbavu


  haa
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM mpaka wakimbie mji. Mxii LUSINDE zao
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naona kwenye uwakilishi wa CDM kuna picha ya Paka. Kwenye thread yako unasema jimbo hili litakilishwa na Slaa. Ina maana kuwa Slaa siku hizi ni Paka??????
   
 6. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hii inamaana hata cdm ikisimamisha paka ashindane na mgombea wa ccm, paka atashinda, umeonyesha jinsi gani vijana mlio ccm mnavyoshindwa kupambanua hata vitu vidogo vidogo, hapo ndo IQ yako ilikuwa imeishia haya jua hata hilo.
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ritz Maembe na machungwa yanalimwa wapi?...... Jibu Kwenye Friji!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kama tulivyo sema Igunga na Arumeru bado msimamo ni uleule Dr. Slaa asigombee Arusha

  AFANYE KAZI YA KUKIIMARISHA CHAMA NCHI NZIMA
   
 10. p

  pembe JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hapo nakuunga mkono. Dr Slaa aendelee kuimarisha chama nchi nzima kuanzia ngazi ya chini kwani viongozi wa ngazi mbali mbali wanahitaji mafunzo ya uongozi. Najua kuna chuo kinajengwa sijui kimefikia hatua gani.
   
 11. k

  kifuniboy Senior Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We need a strong man at A town. Tusifanye mchezo kabisa -- Ikibidi Slaa aingie kwangu sawa tuu. Haimzuii kuendelea kuimarisha chama akiwa mbunge. Kwakua A town ni jiji proper anaweza kulibadilisha na likawa kioo cha ulimwengu wa majiji yapatikanayo Africa.

  Na ataleta changamoto nyingi kwenye bunge kipindi hiki kifupi kilichobaki.
   
Loading...