Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Ndg. John Tendwa amekiri kuwa CCM ni chama cha siasa ambacho hakikusajiliwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika kipindi cha kila wiki cha 'This week in...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakulu jana nilichelewa kuwaletea habari hii kwakuwa nilibanwa na shughuli nyingi na vikao kemkem. Kuna taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika kuwa sasa pesa zilizopitishwa serikalini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana usiku katika kipindi cha malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV, mwanaharakati na mzalendo wa ukweli Ndg Renatusi Mkinga aliendelea kudhihirisha na kuonyesha uwezo katika kujenga hoja zenye...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Maandamano ya wanachadema yaliyokuwa yaanzie eneo la ibinzamata had uwanja wa shy com yamezuiliwa na manjagu huku wa2 wakiwa wameshajipanga tayar kwa maandamano. Dr slaa ndiye mnenaji mkuu,wa2...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa nasilkiliza Bunge wakitunga sheria na kurekebisha sheria. Mh J. Mnyika alikuwa anatoa maoni kuhusu marekebisho ya matumizi ya Bajeti ya taasisi za Serikali. Kwamba kuna makusanyo...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.zitto kwa jinsi alivyoliongoza taifa la walalahoi(wananchi walio wengi) kutetea au kuzungumzia masuala na pointi muhimmu leo bungeni..bigup kaka. mh.mnyika...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
Watu wawili,mbongo na mkongomani wamekamatwa eneo la Mtera wakiwa na maburugutu ya noti bandia za kitanzania na dola za kimarekani.Watu hao wanashikiliwa katika kituo cha polisi Migori kwa...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Hii tabia ya watu kugombea ubungu kutokana na umaarufu labda alikuwa mganga wa kienyeji maarufu, muigizaji, muimbaji, mcheza shoo za twanga n.k itatuletea watunga sheria mbumbumbu. Jaman tuwen...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nipo Pretoria South Africa,hapa tumekutana na watanzania wengi sana wanaoishi huku,tumetembelea miji ya Johannesburg na Capetown kwa shughuli zetu za biashara,Watanzania wanaoishi hapa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo nimepita Mbele ya Hospitali ya Taasisi ya magonjwa ya Moyo(THI) , nimekuta bango kubwa kwamba imefungwa. Hii taasisi ya THI imekuwa ikipigwa vita tangu ilipoanzishwa . Swali kwa JF , je ? sio...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf na vijana wote,kutokana na kongamano la vijana litakalofanyika kesho dodoma mjadala ukiwa ni vijana na changamoto ya ajira,ningeomba maswali,ushauri na mapendekezo ili niweze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu kuna hawa wabunge wawili wa kipindi cha Msekwa 1) Makadara Mosi 2) Semindu Pawa Hivi walipotelea wapi? Maana siwasikii kabisa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna habari kwamba wale wakulima ws korosho mtwara vijijini jana walifunga njia ya tandahimba- mtwara kwa kile kinachodaiwa kuchoshwa na ahadi za selikali kutowalipa madeni yao yamauzo ys korosho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by msa // 14/04/2012 // Habari // No comments Related Posts JK: Katiba mpya isiegemee udini, ukabila Pingamizi ya matumizi ya kidini yafutwa – Mfuko wa jimbo Muda muafaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kweli dunia hii ni ndogo sana, juzi na jana pale chuo kikuu kwenye tamasha la kigoda cha Mwl. Nyerere, wote wawili walihudhuria, kwakuwa na mie nilikuwepo nilisoma macho ya mkapa na kuona...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi kesi ya kina mramba,mgonja,yona na kina werema inaendeleaje? update plssss
0 Reactions
3 Replies
1K Views
watazania mnaopenda kuona haki inatendeka mmtakubaliana na mimi kuwa kuna umuhimu wa msajili wa vyama ndg john Tendwa anatakiwa kujiuzulu mara moja. Kauli zake mbalimbali katika chaguzi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi. Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini. Taarifa hizo zimewataja walianza...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Amini usiamini kweli ccm mnashangaza na ndio maana mnaambiwa chama kinakufa.Hivi mawaziri wanaposema mambo wanayotamka kwenye kampeni sio kweli sasa kipi sisi wananchi tutajua ni cha kweli katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete, amewaonya watu watakao fanya fujo watashughulikiwa na vyombo vya sheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba. Kauli ameitoa leo Ikulu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom