�
• NAGU, MEDEYE WAO WAJITETEA
na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, jana aling'aka akidai kuwa mwenye majibu kuhusiana na tuhumu zilizoelekezwa kwake na...
Mara nyingi sana nimesikia wanasiasa wakitoa ahadi za kuchimba visima kama njia ya kutatua tatizo la maji - iwe mjini au vijijini. Hebu angalia vichwa hivi vya habari kisha usome swali langu tena...
Wadau naomba kujua ni vipi serikali inakosa pesa za kuendeshea shughuli zake za kiofisi na kufanya miradi ya maendeleo kama alivosema Pinda wakati TRA inavunja rekodi yake ya ukusanyaji wa mapato...
Sifa zake: Haifananishwi na tv's nyingine hapa nchini.ina habari fipi kama muhustasari wa tv binafsi kama ITV,ina viongozi wenye nyodo na maringo utafikiri wanaongoza CNN AU BBC,ina baguzi wa wazi...
Nipata bahati ya kukutana na mmoja wa makamando wa CCM kule zanzibar tuliongelea mengi kuhusu pande zote mbili za Tanzania na hali halisi ilivyo hivi sasa na huko mbele nini kinaweza kutokea...
Wakuu,
Tangu jana nimekua nikiisoma ripoti ya Serikali Kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka wa fedha 2010/2011 yenye kurasa 191. Nilipofika ukarasa wa 90 nikashtuka kuona...
Pamoja na kumuunga mkono JK kwa maoni yake aliyotoa jana kuwa muungano ubaki,pia nawaunga mkono CHADEMA kwa suala la kugawanya Tz kimajimbo.napendekeza kuwa kuwe na serikali moja yenye majimbo...
Waziri wa Viwanda na Biashara Marry Nagu akiulizwa kujibu tuhuma za kutumia lugha za kibaguzi katika kampeni kukibeba CCM alikubali makosa na kumuomba Mh Mbowe kuyaacha mambo ya kampeni za...
jana katika kongamano la kigoda cha mwalimu nyerere lilifanyika ktk ukumbi wa nkurumah uliopo hapa chuo kikuu cha taifa_udsm_kwa masikio yangu mwenyewe nimemckia akiwauliza wajumbe eti naye hajui...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Audhuria Ibada ya Kumkumbuka Aliyekuwa Waziri Mkuu,Hayati Edward Moringe Sokoine
Written by haki | // 0 comments
Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Mhasham...
Jana nilikuwa na angalia kipindi cha KIPIMA JOTO kinachorushwa na ITV kila Ijumaa, nilishangaa kusikia kutoka kwa mwakilishi Wa tasisi moja ya Serikali inayoshughulika na maswala ya mafuta akisema...
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria, Abdelaziz Bouteflika kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa nchi hiyo, Ahmed Ben Bella...
Hello Bandugu:
Tafadhali rejea site hii: matukio-michuzi
Nimeshangaa sana Prof. Baregu kuapa bila Biblia wala Quaran. Naomba kuelewesha maana/tafsiri yake. Please! Tafadhali!
Nilikuwa naangalia kipindi cha "This Week In Perspective" kinachorushwa na TBC1, na mada ilikuwa "FUNZO LILILOPATIKANA KATIKA UCHAGUZI MDOGO ARUMERU MASHARIKI". Hii ni baada ya kufanya tafsiri...
kila kona jimboni busanda.ni vilio vya ahadi hewa .za ccm.wanasema wanakumbuka kazi ya mh.kabuzi.wajutia kura yao. Wengi wafunguka na kuuliza wako wapi CHADEMA. huku.wanasema 2015.upinzani...
Waziri wa Ujenzi Ndugu John Pombe Magufuli akihojiwa na waandishi kuhusu kutumia siasa chafu za kibaguzi kwenye kampeni mbalimbali kukibeba CCM alikwepa kujibu hoja ya dhambi yake na kumsukumia...
Jamani watanzania tuache ushabiki tuwe wadadisi wa mambo. Rais huyu wamemtwika lawama nyingi ila ukweli ni kwamba Mkapa alikuwa akiongoza serikal kwa mkono wa chuma, wakati huo watanzania...
Wadau wajamvini Habari,
Jamani tuweni makin na post za kupotosha na za udaku, kuna mdau anajijua aliweka post kuwa Kanumba kaagwa mpaka na rais lakin Kiaro na Mkuu wa mkoa, unajua udaku kama huu...
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.