Nassari: Mungu aibariki Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Apr 12, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

  - HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

  - MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

  William.
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbona tunajua lengo lako ni nini?
   
 3. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa taarifa, mungu amwongoze awe na busara ya kuwatumikia wananchi wa Arumeru
   
 4. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Sawa William. Ujana si hoja, tunasubiri utendaji ndo tutajua kama ni dogo jinga au dogo janja.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Vijana ni Taifa la Kesho!!!!!
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Good Message kamanda.Kila la kheri.Narudia tena kukuomba mwaka 2015 nenda Mtera kamtoe yule mhuni anayejiita Mbunge Lusinde.Anaidhalilisha sana Mtera na anawafanya vijana wote wapuuzwe kwa sababu ya maneno yake ya kipumbavu.William nenda Mtera na tutakuunga mkono NO matter unatokea chama gani.Read my words ana I mean it!
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wiliuam Usije ukakosa sifa za kuchaguliwa kuwa mbunge, miaka ya nyuma kuna watu walitolewa kwa sababu ya kushabikia upinzani.
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Kushinda uchaguzi tu ni dalili tosha kwamba Nassari ni Kiongozi!

  William.
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ndivyo wazee wetu wapenda madaraka walivyo tuaminisha kwa miaka mingi. Vijana ndiyo wana tengeneza asilimia kubwa ya workforce ya nchi yoyote so huwezi waita taifa la kesho.
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mi sikatai kuwa ni kijana ila baba zenu kina malecela na wengineo ndo wameua ndoto zetu mpaka leo mwaka wa 4 tumemaliza vyuo vikuu hatuna hata tempo ya kufundisha primary schools kutwa tunashinda JF na neti za kuchakachua

  nyie mmekulia mliokulia nje baba zenu wanawachomeka chomeka tu kwenye nyadhifa ovyo ovyo.. p*mb*vu zenu we unafikiri uyo nassari hakuhujumiwa mwaka 2010?? kinachokufanya umshangilie leo ni nini na umagamba wenu...

  uyo uyo dingi yako aliyeshindwa na lusinde baada ya kushindwa tu akafukia visima vyote alivyowachimbia wana mtera
  sasa kama mtoto wa nyoka sio nyoka ni nini??

  au unataka kutuambia una mfill sana nassari kuliko dingi yako??

  tukukuuliza mapungufu ya dingi yako uko tayari kuyaataja??

  na ngojen 2015 wwe, january makamba, hussei mwinyi, riziwan kikwete na wengine ndo kushnei...
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Classic ndio tatizo letu Tanzania, tumechanagnywa sana na wanasiasa mpaka tumefikia mahali ni vigumu kuamini anything!

  William.
   
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  I think the main point is not UJANA, bali UWEZO..., does not matter if he/she is 18 or 68 kama anao uwezo inabidi apewe (na sio kupewa kugombania madaraka).

  Pia depends with posts (kuna posts ambazo zinahitaji experience na tuone umeshafanya nini) tusijepata viongozi kama kina Lau Masha au Urais wa Bongo Fleva
   
 13. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Hata kusoma yote nimeshindwa Great Thinker, sometimes muwe mnafikiri japo for one minute kwamba sio kwamba Dunia nzima in walevi walevi kama wewe, I mean a Great Thinker? ha! ha! ha! ha!


  Willie!
   
 14. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  mkuu, sasa naona umeamua kuwachokoza vijana..... ngoja mi nikimbie! lol
   
 15. senior citizen

  senior citizen Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi mtamuua nani kwenye family yenu ili wewe upate ubunge mzee???
   
 16. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Hapana, ni kawaida kwamba kwenye kila Vijana 10 watatu wataharibu, sasa haimaanishi kwamba Vijana wote hawafai Tanzania tuanze sasa kuikubali dhana ya vijana bila exceptions!

  William.
   
 17. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  Anatafuta kura za Chadema,48 si haba!!!!! Sema MahakamaIKULU imempunguzi kura ya Lema
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Really? Kwani mara ya mwisho tulimuuaa nani mkuu? Ili nani akapata ubunge?

  William.
   
 19. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mimi siwezi kuamini huu upenzi kwa kutumia mgongo wa ujana, juzi wabunge wamekatwa mapanga, vijana wamemwagiwa tindikali AM hatujasikia kina Mwigulu, Nape, Januari wala wewe mnaojipambanua kuwa ni vijana wa CCM kukemea. Tusidanganyane mchana kweupe.
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  - Wanasiasa wetu ndipo walipotufikisha hapa, kuwa na wasi wasi na kila neno! ha! ha! ha! ha! wakisema kumi tunaamini ni tatu, sawa sawa mkuu!

  William.
   
Loading...