Hi ni tbc yetu sote tunaipenda.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Sifa zake: Haifananishwi na tv's nyingine hapa nchini.ina habari fipi kama muhustasari wa tv binafsi kama ITV,ina viongozi wenye nyodo na maringo utafikiri wanaongoza CNN AU BBC,ina baguzi wa wazi kabisa kwa vyama vingine vya siasa kama walivyo tuthibitishia kwa barua waliyo mwandikia Dr slaa katika uchaguzi wa arumeru.

Ndiyo chanel pekee duniani unayoweza kusikiliza tarifa ya habari huku ukipata muziki mwanaana ua umbea wote unaoendelea studio au radio nyingine bila chenga.

hi ndiyo tv yetu ya taifa inayo tumia kodi zetu na hizo ndizo nyodo zetu.
 
mkuu usishangae tbc watu pale wanafanya kazi kwa kua kwa kwenda hawana.!!!
 
wengi ni ndugu wa vimada wetu,na tumewaweka pale ili wasitoboe siri za dada zao
 
Sifa zake: Haifananishwi na tv's nyingine hapa nchini.ina habari fipi kama muhustasari wa tv binafsi kama ITV,ina viongozi wenye nyodo na maringo utafikiri wanaongoza CNN AU BBC,ina baguzi wa wazi kabisa kwa vyama vingine vya siasa kama walivyo tuthibitishia kwa barua waliyo mwandikia Dr slaa katika uchaguzi wa arumeru.

Ndiyo chanel pekee duniani unayoweza kusikiliza tarifa ya habari huku ukipata muziki mwanaana ua umbea wote unaoendelea studio au radio nyingine bila chenga.

hi ndiyo tv yetu ya taifa inayo tumia kodi zetu na hizo ndizo nyodo zetu.
Nisaidieni, nimepitwa na hiyo barua ya kutoka TBCCM kwenda kwa Dr. Slaa
 
Back
Top Bottom