CCM ya Zanzibar iwapo Chadema kitaingia madarakani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ya Zanzibar iwapo Chadema kitaingia madarakani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Black Jesus, Apr 14, 2012.

 1. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nipata bahati ya kukutana na mmoja wa makamando wa CCM kule zanzibar tuliongelea mengi kuhusu pande zote mbili za Tanzania na hali halisi ilivyo hivi sasa na huko mbele nini kinaweza kutokea, nikamuliza unakionaje chama cha chadema? alinijubu huku akionesha uso wa furahana kusema kinasikika kwa wananchi lakini pia akanionya ikiwa itatokea chadema kuingia Madarakani. wao kama CCM zanzibar wanamsimamo ni msimamo wa ccm unaotokana na itikadi ya vyama vyao viwili vyenye itikadi zinazokubaliana na ndio matokezeo ya kuzaliwa kwa CCM alimainisha Tanu na ASP
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  "Black jesus"
  Asante kwa ndoto
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Badili hiyo user name. Doesn't do you any good. AM OUT!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Black Jesus, hivi ulikuwa unaandika nini? hueleweki!
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Badili username ..it smell idiot in you
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,950
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Username yako ni kufuru kwa imani yangu. Umevunja amri ya kwanza ya Mungu.Ushindwe na ulegee
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kifo kinapokaribia kila habari ya kuwepo kwa tiba ina umuhimu..Ni mapema kufikiri hata hilo kwa zanzibar...CDM ni kiama kwa kila chama na mwanasiasa Tanzania.Sihani km CUF wameshindwa jitoa ktk CCM B, ngome yao itakuwa salama.Unguja wanahitajai kombora moja tuu wagawanw na CCM.Labda ungesema CDM wawe 2n Pemba(/VS CUF) na 2nd unguja(VS CCM). Overall unapata picture...?
   
 8. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu jamaa ulieongea nae alikudanganya, tokea chadema washinde jimbo la arumeru masharaiki, magamba hapa zanzibar hawana amani, kila siku wanajadili 2015 itakuwaje kama cdm wataingia ikulu?

  Hofu yao kubwa ni kwamba kila wakati wa uchaguzi wamekuwa wakibebwa na mkapa na ali hassan mwinyi, kwa hiyo mara hii wao wenyewe bara ccm maji shingoni kwa hiyo ccm zanzibar wanakaribia kutoka roho, maana cuf sasa hivi wanaendelea kufanya kampeni za chini kwa chini unguja ingawaje bara wamepoteza mwelekeo.

  Hapa zanzibar vijiwe vyote ni je nani atawaokoa ccm 2015 kama cdm wataonekana wanakaribia kuingia magogoni? Hilo ni swali halijapata jibu hadi sasa hivi.

  Sisi wazanzibar tuna msemo usemao, "vita vya panzi furaha ya kunguru"

  bila shaka 2015 tuombeni uhai, kutatokea kishindo kikubwa bara na zanzibar.
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Its funny bado hamjafikiria kuindoa CUF, mnaihurumia CCM.Labda mkiweza ondoa kila kiongozi wa CUF aliyepo na masalia yao ndio mtakuwa na jeuri ya kuihurumia CCM.Otherwise CUF itaiokoa CCM.Nilikuwa nadhani CDM wanawaoneka CUF hama Hamad Rashid alipothibitisha, na maalimu kuinjey ikulu kwa style.Hawakumbuki damu mlizomwaga ,mkitegemea ukombozi na si kuwa CCM B


  Next mtashawishiwa kuuvunja muungano ili mbaki ktk closed door.So far wao wanajua kuwa watakuja tuu km diplomats ,kuangali mali zao.Viogozi wa Kizanzibari wanachochoea mambo mengi ili kuficha usaliti wao.wamehsindwa jenga kanchi kadogo sasa mimacho imewatoka kwa vile wameona mafuta sasa wanalianzisha kuwa mafuta yasiwepo, or muungano uvunjike ilie waje anza wachinja na kujilimbikizia mimali km wafalme wa kiarabu. wanaowaita wazungu makafiri huku hela wameweka kwao, wanawaita wazinifu wakati huwa wanakwenda kuzini nao.
   
Loading...