Ukiwa mwanasiasa hasa Tanzania, usipokuwa makini hata kama una PHD uwezo wako wa kuainisha mambo unakuwa wa chini kushinda wazee wa kimila ambao role yao ni kushauri jamii yao. Wiki iliyopita...
Huu ulikuwa ni mjadala Ijumaa iliyopita kwenye kipindi cha This Week in Perspective ambapo walijadiliana yale ambayo watu wamejifunza kutoka Arumeru Mashariki: (ni sehemu tu ya kipindi...
Jana nimemsikia ****** anadai hospitali zote hadi za willayani zina xray na madawa ya kutosha hivi kaambiwa tuu au katembelea hizo hospitali kama groves hakuna hizo dawa ndo zitakuwepo? Yale...
VIDEO~~ UAMSHO MWANAKWEREKWE 3′Written by Nasikia kichefuchefu nikikumbuka muungano // 15/04/2012 // Habari, Vidio // No comments
Related Posts
DK. SHEIN MGENI RASMI KATIKA...
maneno haya ya baba wa taifa "ccm dhaifu itazaa serikali dhaifu" ni kweli maneno haya yametoa matokeo kwa sasa au bado tuko vizuri? makundi yalipo ndani ya ccm yanatafuna na serikali pia...
kwa kuchunguza kwa makin,i kuna ishara kuwa CCM imepungua umaarufu kwa kasi.
Zamani CCM ilikuwa maarufu sana kiasi kwamba mtu yeyote akiteuliwa kugombea nafasi ya uongozi kupitia CCM alikuwa na...
OpEdNews
Original Content at OpEdNews - Article: East Africa should be Able to Feed Itself
(Note: You can view every article as one long page if you sign up as an Associate Member, or higher)...
Mwenyezi Mungu angekupa uhai zaidi basi ungegundua kwamba nchi yetu si maskini kabisa tuna utajiri mkubwa sana wa rasilimali ambazo kama zingetumika vizuri nchi yetu ingekuwa mbali sana...
GreatThinkers,
Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua,
Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja.
Kuna...
Kwa habari nilizozipata hivi karibuni ni kwamba graph ya mgombea wa TLP ndugu Mlindoko imepanda kwa kasi sana kiasi cha kuhatarisha kura za Komu na inasemekana Augustino Lyatonga Mrema anampigia...
Richard Mgamba, Guardian, Dar es Salaam, 15th April 2012
We come in with our large boats and fish your minerals and your wildlife and leave morselscrumbs. Thats your staple food, crumbs. That...
Nimeona mara nyingi watu wakizungumzia udikteta lakini tafsiri huwa zinatofautiana.Kuna wengine wanaitafsiri kwamba kiongozi anayekaa madarakani kwa muda mrefu ndio dikteta.
Na kunawengine...
Kama mjuavyo, BAZAZI sio mkazi wa eneo moja, ni nyanaume inayozurura tu hivyo ninaomba msamaha iwapo uzi huu nitakuwa naurudia. Tarehe 04/04/2012 Clouds FM ilifanya mahojiano na Mbunge wa Mtere...
Hivi karibuni kiongozi mkuu wa nchi alitoa 10millioni rambirambi kwa ajili ya msiba wa msanii Kanumba.
Kwenye taarifa ya habari ya saa mbili TBC, ameonyeshwa mama mmoja mwenye tatizo la kuvimba...
Nadhubutu sema Dr.Lucy Nkya hafai.Hapo alipofikia ni uthibitisho kuwa CCM bado wana mfumo mbovu unaoweza fikisha watu wasio sahihi mahali wasipostahili.Dr. Lucy Nkya kwa historia na maisha...
Kuna haja ya kufanya hivyo sasa kwani
Madiwani wa vijijini wengi elimu ndogo hawapewi posho wanahongwa dili zinapitishwa.
ONGEZEKO LA VYUO HALILINGANI NA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOTENGENEZWA...
Ndugu Mjengwa,
Ushauri wako kwa CCM hii ya makuadi wa soko huria na wapenda kusifiwa hata wanapokuwa hawana walilolifanya linalostahili kusifiwa si sahihi kwa maoni yangu. CCM ya leo wala...
Kwa vile hatuwezi weka sanamu au hata michoro yao hapa zipigwe mawe na kila raia mwenye hasira.Kwa vile pia muda wa kuwatoa kwa kura bado.Mnaonaje tukipropose muweke jina (idadi ya mawe unataka...
Uchaguzi wa Arumeru umeisha vyama vijogoo vilichuana kwa kila mbinu na CDM wakabana hadi pumzi ya mwisho. CCM waliingia kwa Nguvu kubwa iliyokosa ufanisi kutokana Upepo wa siasa,mbinu za wa CDM na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.