Mkapa kusema hajui kwanini tanzania haijanufaika na ubinafsishaji, ana maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa kusema hajui kwanini tanzania haijanufaika na ubinafsishaji, ana maana gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAGENI, Apr 14, 2012.

 1. B

  BAGENI Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jana katika kongamano la kigoda cha mwalimu nyerere lilifanyika ktk ukumbi wa nkurumah uliopo hapa chuo kikuu cha taifa_udsm_kwa masikio yangu mwenyewe nimemckia akiwauliza wajumbe eti naye hajui kwanini nchi hainufaiki na mpango aliouasisi yeye wa kubinafsisha sekta mbalimbali hapa nchn,"swali la kujiuliza ni kwanini mpango huu hauzai matunda,kuna viwanda vingapi vimejengwa tangia mwaka 2005?" hayo ni maneno yake ambapo aliendelea kuuliza hadi mwisho bila hata kutoa majibu. Mm binafsi ckumuelewa...kwa nini alishndwa kutoa majibu halisi.
   
 2. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yeye mwenyewe alichukua kiwanda kwa bei poa, so, ni aibu tu ndo inayomfanya asijue kwanini tz hainufaiki na ubadhilifu alioufanya.
   
Loading...