kwanza kabisa napenda kukwambia kuwa kuna mambo mengine hautikiwi kujihusisha ndugu yangu na mbunge wangu edward ngoyai lowassa,ivi arumeru kaka yangu ulifuata nini?AIBU ULIYOIPATA ARUMERU...
chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeandika barua kumtaka spika wa bunge kusitisha mchakato wa kupiga kura kwa kuchagua wabunge wa afrika mashariki.
chadema kimemtaka spika wa bunge...
Haingii akilini kumwona Mzee Mkapa akuhudhuria midahalo/majukwaa ya siasa despite of machafu yote aliyotenda wakati akiwa ikulu. Kashfa ya Mgodi wa kiwira, ilitosha kumpeleka huyu mzee SEGEREA...
SIKU chache baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwasilisha ripoti yake bungeni ikionyesha ongezeko la misamaha ya kodi, imebainika kuwa mawaziri na wabunge ni miongoni...
Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza mbunge wa Ubungo juu ya madai yake ya mara kwa mara kuwa kanuni za bunge zinapaswa kurekebishwa kabla ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Afrika Mashariki...
Mawaziri, wabunge waongoza kusamehewa kodi
Send to a friend
Sunday, 15 April 2012 10:58
Na Daniel Mjema,Dodoma
SIKU chache baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
Nilishangaa kusikia hotuba ya Rais ikikataza kuongelea Muungano! Nilifikiri kuwa maoni ya wananchi ndiyo yapewwe kipaumbele kwa kuwa wananchi ndio wenye mamlaka na nchi yao kumbe sio! Mashaka...
Waziri mkuu alitangaza bungeni serikali kukabiliwa na ukata wa hela!Amezitaka Wizara na taasisi mbalimbali kubana matumizi kwa chochote watakachopata(kama wakibahatika kupata)
Zito aliwahi...
Kiongozi mkuu wa upinzani na mwanasiasa machachari nchini Dr Wilbrod Slaa anaanza ziara ya siku kumi katika mikoa ya Tabora,Shinyanga na Mwanza.
Dr Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CDM anaanza...
Ndugu zangu,
Shujaa wa taifa la India Mahatma Ghandi alipata kutamka; " Bila ya ng'ombe India isingekuwepo". Mwingine angefikiri, Wahindi hawa ni watu wa ajabu sana. Iweje watoto wao wengi...
Kama ni kweli Sokoine alim-groom Lowasa, basi tumpe 2015 japo atukomboe hii miaka michache aliyobakiza,
Kama kuna mtu anajua ni mwizi aseme kaiba nini, mana kama kujiuzuru hata Mwinyi aliwahi...
Jamaa ametoa komputa mbovu ktk maofisi ya gov ya Mafia kama ni rushwa ili kujijenga 2015 kupitia CCM.
amechangia mamilion ya fedha ktk ujengwaji wa nyumba za ibada ndani ya 1. kwa mfano mil 10...
Kipindi kile cha maduka ya kaya, nilikuwa natoka nyumbani mapema sana kudai kuwahi foleni. Ukweli haukuwa foleni bali ilikuwa tunawahi kwenda kuvuta KAYA. Sasa siku moja Baba akaniuliza kuhusu...
Jamani nakerwa sana na hii tabia ya kuwaita viongozi wa kisiasa waliopita kama "rais mstaafu" na "waziri mkuu mstaafu"! Wanaostaafu ni wale waliofikisha umri wa kustaafu kwenye mkataba wa utumishi...
Nimehuzunika sana na kifo cha mpendwa wetu na kijana mwenzangu Steve Kanumba.BUT kunakitu hakijaniingia akilini pale waziri wa vijana na utamaduni alipotangaza kwamba wizara yake itatoa sh.milioni...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kitu cha kawaida kwa viongozi wa serikali kuwa wababe (wenye tabia ya kijambazi) na kulindwa na serikali yao. Naibu Waziri wa Viwanda na biashara Lazaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.