Du!siasa za nchi hii! Kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Du!siasa za nchi hii! Kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba C, Apr 14, 2012.

 1. B

  Baba C Senior Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri wa Viwanda na Biashara Marry Nagu akiulizwa kujibu tuhuma za kutumia lugha za kibaguzi katika kampeni kukibeba CCM alikubali makosa na kumuomba Mh Mbowe kuyaacha mambo ya kampeni za uchaguzi kwani zimeshapita. Source Mwanachi 14/4/2012.

  Je kama ni kweli Mbona kamanda Lema kahukumiwa kifedhuli kwa mambo yaliyotokea kwenye kampeni na ni wakati wa nyuma?
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hapa tuchapane kwanza ndio haki itapatikana na kila mtu atajua wajibu wake!!!
   
 3. M

  MELODY Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanafikiri watanzania ni vilaza kiasi cha kushindwa kutunza kumbukumbu na kuchanganua mambo!
   
 4. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  kwanza kwa mh Lema,jaji alimhukumu kwa kutumia sheria na kifungu batili.tena cha cpa na bila kuangalia kanuni za uchaguzi,halafu kesi ya kashfa ni lazima mlalamikaji awe ni mkashifiwa mwenyewe na si mtu tofauti .
  Pia ieleweke kuwa kesi ya kukashifiwa huwa hairithiwi ni kwamba mkashifiwa akifariki basi na kesi huwa imekwisha kwani yeye ndie anayekuwa mlalamikaji halali
  Sasa hakuna hata siku moja ambapo Batilda aliwahi kuhudhuria wala kujihusisha na kesi ile lakini angalia hukumu iliyotolewa.
   
 5. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakuunga mkono mkuu
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo pa kujiuliza je majaji wengine wana Mungu wa Israel?wa yakobo?wa ibrahim?wayuda?wamusa? BASI2,ILA KILA GOTI LITAPIGWA KWA AJILI YA TZ.
   
 7. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  The revolution is not an apple that falls when it is ripe,you have to make it fall!
   
Loading...