BUSANDA.wajuta kuchagua walioletewa.wakumbuka enzi za ubunge wakati wa mh KABUZI.

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
kila kona jimboni busanda.ni vilio vya ahadi hewa .za ccm.wanasema wanakumbuka kazi ya mh.kabuzi.wajutia kura yao. Wengi wafunguka na kuuliza wako wapi CHADEMA. huku.wanasema 2015.upinzani tu.wanekitamka chadema.enyi makamanda.mavuno ni mengi busanda.enendeni.huko.wasukuma wamefunguka.milango iko wazi.MUNGU IBARIKI TZ.MUNGU WABARIKI WANA BUSANDA.
 
Wacha magamba yawanyee
walikuwa na nafasi ya kuyaondoa magamba mara mbili hawakufanya hvyo watajuta kuchagua magamba
 
Wasukuma nao ni wagumu sana kuelewa kama wajomba zao wanyamwezi! Hata kama amefungwa pingu ukimuuliza hali atakujibu "ndoho tabhu"
 
Jamani jamani, eneo kubwa la jimbo la Busanda wenyeji wake wengi sio wasukuma, kabila hilo la watani zangu ni wachache tu, wengi wa hapa ni mchangajiko wa wahutu/watusi, wahangaza wabungu na waarabu pale BUKORI, of course na wasukuma pia wapo, so hii ndio hali halisi ya hapa Busanda, pale katoro, utafikiri ni mkoa wa Kagera au Kigoma, maana hawa ndio wengi pale.

Hata hivyo huwa siamini sana kama kweli huyu mama alishinda kwenye chaguzi zote 2, yaani ule wa 2008 na huu uchaguzi mkuu, kumbukeni maeneo yote ambayo mbunge wa CHADEMA alitangazwa mshindi, wananchi waliamua kulinda kura nadhani kasoro jimbo la Msoma mjini tu (mwenye takwimu tofauti anaweza kuja kivingine) so yawezekana kabisa na huyu alishinda lakini aliyetangazwa ni mwingine. CCM walionesha kuwa wako tayari hata kukwamisha maendeleo ya sehem, kumbuka kwa mara ya kwanza huku ndiko mawaziri na wabunge wengi wa ccm walikuja kuweka kambi kwa mara ya 1, Ngereja alitamka kuwa yupo tayari kukwamisha mradi wa umeme wa jua endapo tu mtamchagua mgombea kutoka CHADEMA, nahakika angekuwa huyu ni waziri wa kule china saa hizi angekuwa kaburini kwa mauti ya risasi.
 
idadi kubwa ya wapiga kura wako vijijini. ndiko ccm inakopatia ushindi. cdm wafanye jitihada za makusudi kuwafikia
 
Wasukuma nao ni wagumu sana kuelewa kama wajomba zao wanyamwezi! Hata kama amefungwa pingu ukimuuliza hali atakujibu "ndoho tabhu"
Mkuu huna rekodi nzuri na wasukuma nadhani wasukuma hao hao ndo wanaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, Mwanza ina wabunge watatu na shinyanga ina wabunge sita wa upinzani, ukiongea uwe na reference.
 
Back
Top Bottom